Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chizi1, Mar 15, 2012.

 1. chizi1

  chizi1 Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

  Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

  Mungu akubariki lowassa..

  Haya waongo kanusheni sasa
   
 2. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  amekanusha habari ipi..sisi tulisema yupo hospitali na ni kweli alikua hospital ndo amerudi!!
   
 3. chizi1

  chizi1 Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maasjofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

  Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

  Mungu akubariki lowassa..

  Haya waongo kanusheni sasa
   
 4. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe huyu fisadi namba moja ana mashushushu huku jamvini kazi kweli kweli
   
 5. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Huyu ni nani?
   
 6. P

  Paul Makonda Verified User

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0  yuko tayari kwa kazi ipi? Kama ni ya wizi sawa. Mimi ni mwiongoni mwa watu ambao sijawahi kumwombea kwa neema ya mungu amerudi salama ila naomba jambo moja mungu amshugulikie talatibu mpaka mwisho wa uhai wake na kama kweli ni muwazi aseme magonjwa yake yote ili wanaomwombea waombe wakijuwa mgojwa wao anaumwa nini.
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Mwambie Nassari kashachukua arumeru
   
 8. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Angefafanua yupo tayari kwa kazi gani kwani kwa Kikao cho chote cha Bunge sasa.

  Karibu tena EL kapumzike Monduli.
   
 9. chizi1

  chizi1 Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Humu ndani mlitusumbua sana tukafunga safari tukijua amepata stroke.tukaenda hadi kwake
   
 10. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mwambie aache ubishi...afate masharti ya madaktari na pia aache kutumia remmy-martin......ndoto za uraisi .....
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  karudi kufanyanini? Roho ingebaki hukohuko urudi mwili tu,
   
 12. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Madaktari wamemwambia apumzike na aachane ma na mambo ya siasa.....akiendelea shauri lake likalompata tena
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Karibu nyumbani E.L ila maaskofu wa katoliki hawataki tena kutumia makanisa kujisafisha kwa kutumia michango!tafuta madhehebu menginge kujisafisha mkuu
   
 14. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini Edward si ana mke wake ? mama Regina,
   
 15. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwishowe amenena maneno yasiyoshabihana na siasa za Arumeru!
   
 16. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama yuko fit, haumwi maombi ya nini? Anashukuru mashekhe na maaskofu kwa lipi? Unafiki sio kabisa.
   
 17. ram

  ram JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,226
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Unataka wakanushe nini sasa, halafu sio uongo, wewe ndo unataka kutuletea uongo hapa, kwani huyo babu yako haumwi kweli?
  Kikwete anamzidi Lowasa miaka m3 tu lakini babu yako lowasa ameezeeka utadhani nalingana umri na jaji Warioba.

  Kubali ukatae Lowasa ni mgonjwa, yeye ni binadamu kama wengi so kuugua ni kawaida sana

  Nkusahangaa unatete upuuzi

   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ..........kelele huko na wewe; bure kabisa na wala hakun kitu hapa!!!!!!!!!!

   
 19. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Alishauria check up awe anafanyiwa Ujerumani siyo:cool2:
   
 20. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dah Kama wewe wa kike kazi unayou.................utaliwa mpaka ukome.....kwenye nyumba za watu ili nini?USWAHILI HUO SI BURE MNAPEWA KANGA ZA BURE NA PILAU.Mamvi anawafaidi sana hizi za burebure kabisa mpaka nyumbani kwake
   
Loading...