Siafu wamekazana Arumeru mashariki

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Siafu wamekazana,arumeru mashariki, ccm waungana,na vyama vya kinafiki, kuua nchi mwanana,katu haikubaliki, siafu chadema ng'ata,joka litokee arumeru mashariki. WANACHADEMA WOTE HAKUNA KULALA KUANZIA SASA MPAKA KIELEWEKE!
 
CDM pambana mpaka kieleweke. Tupo mbali na Arumeru East lakini tupo pamoja. Tupambane mpaka tuung'oe utawala huu usiojali raia zaidi ya kujinufaisha wao, watoto na jamaa zao wa karibu.
 
ukiona wapinzani wanaamua kuungana na ccm ujue kuna kitu cdm inatakiwa kujirekebisha
 
Chadema haiwezi kiupendwa na wapinzani kwa udikteta wao wanaoufanya bungeni. CUF ingekuwa na hizo tabia kipindi cha Hamad Rashid Chadema isingekuwa hapa ilipo sasa.
 
Chadema haiwezi kiupendwa na wapinzani kwa udikteta wao wanaoufanya bungeni. CUF ingekuwa na hizo tabia kipindi cha Hamad Rashid Chadema isingekuwa hapa ilipo sasa.

msalimie jussa na maalim,wape heko zangu kwa kufanikiwa kuibakiza kaf pemba peke yake
 
Chadema haiwezi kiupendwa na wapinzani kwa udikteta wao wanaoufanya bungeni. CUF ingekuwa na hizo tabia kipindi cha Hamad Rashid Chadema isingekuwa hapa ilipo sasa.

Chama cha wasio wabara na wasio wakristo (Kauli ya Ismail Jussa, sababu za kushindwa Uzini)
 
Back
Top Bottom