Nimejaribu kufuatilia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM hakika watu hawa hawamwogopi mungu. Leo nimepigiwa simu na moja wa kiongozi mashuhuri wa CCM aliyeweka kambi jijini Mwanza kwenye uchaguzi...
Baada ya Wasira kuanza siasa za maji taka mwisho wa siku zitamrudia mwenyewe kwa kuwa siasa za majitaka huwa zinabackfire! Sasa kwa emortions unaweza ukaanza,lakini siku zote zilizobaki duniani...
Spika Wa Bunge Akutana Na Ujumbe Wa Timu Ya Kujitathimini Katika Maswala Ya Utawara Bora Barani Afrika
Wajumbe wa timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani Afrika...
Wiki moja tangu kuzinduliwa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, nimeamua nifanye tathimini juu ya mwelekeo na mwenendo wa vipengele (components) 6 kama vilivyojidhihirisha na...
Hebu soma habari hii uone jinsi ambavyo CCM imechoka na kutegemea kundi la vikongwe na akina mama. Nadhani ndio maana wameshinikiza NEC isi-update daftari la wapiga kura.
Endelea....
Title...
Kati ya maswala ambayo yamenichukua mda kuyatafiti pasipo majibu ni hili la watanganyika kutolalamikia muungano tofauti na wazanzibar ambao wako mstari wa mbele kuonyesha kosoro zake na kulilia...
Jibu la swali hili ambalo liko wazi ndiyo litafutiwe kauli mbiyu (slogan) muruwa iliyo fupi na kutumiwa na viongozi wa CDM kuanzia sasa katika kampeni zao majukwaani, kuanzia Arumeru.
Na pia...
Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa...
Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini...
Awali mwisho wa wadau wote kuwasilisha majina ilikuwa Jana Machi 16 ambapo majina yalitakiwa kuwa yamefika kwa Katibu mkuu Kiongozi.
Hata hivyo JK amesogeza mbele muda huo na kudai kuwa huenda...
kwa taarifa ni kwamba mmiliki wa nyumba ambayo inatumika kama makao makuu ya chama cha UDP alishindwa kulipa deni na kupelekea nyumba hiyo kupigwa mnada.sijapata uhakika kwamba mnada huo...
Kwa wanaopenda kutafakari napenda kuwakaribisha katika tafakari yangu hii. Waweza kuipanua, naamini itakusogeza hatua kadhaa mbele katika uchambuzi wa mambo.
1. Uhai wa mtanzania ni nini...
Wanajamvi, salaam. Najaribu kuvuta picha nashindwa! Nisaidieni: HIVI utata wa Uraia wa Siyoi, ulioibuliwa kwanza na wana CCM wenzake kabla hajapitishwa kugombea Ubunge kisha baaadae kuwekewa...
Kafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya...
Hadi kesi itakapoisha tutajionea kila aina vituko katika kesi hii
Baada ya Juzi Lema kuanza kuhutubia mahakamani kwa kusema Pipoooozzzzzz......., Safari hii Jaji Gabriel Rwakibarila amegeuka kuwa...
Jamani taarifa nilizozishuhudia mwenyewe ni kwamba baada ya DK SLAA kukusanya umati mkubwa jijini mwanza KIRUMBA katika kampeni za nafasi ya udiwani,,,ni kwamba CDM walipomaliza mkutano wao mida...
Nanukuu kwenye gazet,
ukweli wa kifo cha mwalimu Nyerere anayeufahamu ni daktari wake katika hospitali ya mtakatifu Thomas iliyopo Uingereza ambako mwasisi wa taifa alilazwa na kupatiwa matibabu...
Jamani ee.. Habari zenu wana Jf.
Sasa bila kujikanyaga, Mimi naomba nipewe utaratibu wa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz. Yaani Mhe. JAKAYA .M. KIKWETE.
Nina shida naye sana japo...
Serekali ya Mungano wa (Tanganyika +Zanzibar )Tanzania iwe makini katika mgao wa pesa za Rada, Zanzibar wapewe sehemu,ambazo zimeanza kulipwa kwa serekali ya Tanzania .