Moja ya sifa ya kuwa mwanachama CCM ni kutomuogopa mungu?.

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Nimejaribu kufuatilia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM hakika watu hawa hawamwogopi mungu. Leo nimepigiwa simu na moja wa kiongozi mashuhuri wa CCM aliyeweka kambi jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba na kuniambia kwamba jana wameua kitoto kichanga kama kutoa kafara ili washinde kata hiyo. Ameongeza na kudai imemsikitisha sana na kumhuzunisha ndio maana ameamua kutoa siri hii. 'mimi sijahusika kabisa bwana mdogo ila kuna wenzangu ndo wamefanya hiyo dhambi'. Nimemuuliza kwanini unaendelea kukipigia kampeni chama icho ilihali unajua dhambi iliyotendeka?. Amekata simu na sasahivi kila nikimpigia inaita mpaka inakata. Wana jamii naendelea kufuatilia kisa hiki kujua ukweli uko wapi.
 
Hii ni story ya kupika, hivi ni nani atayekubali kutoa kachanga kama kafara?

Bado hainingii akilini,
 
Hii ni story ya kupika, hivi ni nani atayekubali kutoa kachanga kama kafara?

Bado hainingii akilini,

mkuu hii stori haijapikwa stay tune utasoma hata kwenye magazeti ikiwezekana. Hivi unashangaa kitoto kichanga kutolewa kafara? Yani unathubutu kusema haiwezekani mtu kutoa kafara kichanga! Na hao wanaotupa vichanga. Nina uhakika wakiienda pale Bugando ni rahisi kupata kitoto kichanga. Ogopa nguvu ya pesa kwa mtu ambaye hajaelimika.
 
Posti nyingine bwana zinafaa watoto wa chekechea.
Bwana mdogo uliyeposti huu uchwara vaa kinyago uwatishie watoto nyau
 
Usiwawekee dhamana CCM, kama Mwakyembe mwenzao kabisa wamemtwanga Polonium 210 ndio iwe kitoto kichanga?? Kule Igunga walimtoa kafara kada wao, muulize Mwigulu anaijua hiyo ishu
 
Usiwawekee dhamana CCM, kama Mwakyembe mwenzao kabisa wamemtwanga Polonium 210 ndio iwe kitoto kichanga?? Kule Igunga walimtoa kafara kada wao, muulize Mwigulu anaijua hiyo ishu
Siyo siri CCM ina matatizo.
Lakini comments nyingine ni too simplistic.
Watu msisahau kuwa Rais JF Kennedy aliuwawa na watu wanaosadikiwa kutoka NDANI ya serikali.
Bila analysis ya matatizo hayo ya chama tawala tutaohia soga tu.
 
vigezo vya kuwa mwanachama au mpezi wa magamba ni lazima uwe zezeta, puguwani, mwizi, muuaji kama mkapa alivyo mtoa roho mwalimu jkn kifupi uwe na sifa kama za shetani na ikitokeoa unasifa zaidi ya shetani basi utapewa kipaumbele zaidi...
 
Siyo siri CCM ina matatizo.
Lakini comments nyingine ni too simplistic.
Watu msisahau kuwa Rais JF Kennedy aliuwawa na watu wanaosadikiwa kutoka NDANI ya serikali.
Bila analysis ya matatizo hayo ya chama tawala tutaohia soga tu.
Una ogopa kufa?Mungu ata kuua ata namaria.
 
don-oba umeleta umbea hapa jamvini,hv wewe na wenzio ni lini mtakuwa kifikira,kimawazo na kibusara?are real great thinker?
 
Mambo ya kishirikina hapa Tanzania yapo, mauaji ya albino, mauaji ya watoto , wazazi, ndugu najamaaa kwa lengo lakupata utajiri. CCM haina sere hiyo ya Kishirikina katika Katiba na Kanuni za Chama. Ushirikina hapa Tanzania ni hali ambayo baadhi ya Watanzania wana imani hizo wanaweza kutoka vyama vya siasa, jumuiya za dini, kabila fulanifulani ili hali ni watanzania. Narudia tena na tena WANACCM wengi wana dini zao ambazo zinamwabudu MUNGU mwenyezi. WanaCCM wanamheshimu na kumwogopa MUNGU. Wewe uliyeandika makala haya kwa kutoa hukumu kwa mwanaCCM kwamba hatumwogopi Mungu, nasema katika jina la YESU hukumu uliyoitoa kwetu ni nzito sana namwachia YESU KRISTO akujibu. Usihukumu usije ukahukumiwa.
 
don-oba umeleta umbea hapa jamvini,hv wewe na wenzio ni lini mtakuwa kifikira,kimawazo na kibusara?are real great thinker?

wewe ndo mbea, hujafuatilia unaanza kutoa povu hapa. Nyie great thinkers wenu si ni Wassira na Mwigulu Nchemba?.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom