Wasira siasa za maji taka unaziweza, usije ukafa kwa pressure!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira siasa za maji taka unaziweza, usije ukafa kwa pressure!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 18, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,571
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Baada ya Wasira kuanza siasa za maji taka mwisho wa siku zitamrudia mwenyewe kwa kuwa siasa za majitaka huwa zinabackfire! Sasa kwa emortions unaweza ukaanza,lakini siku zote zilizobaki duniani utabaki unajuta na kujilaumu.

  Ukubwa siyo kukomaa sura, ila ni pamoja na hekima! Nadhani Wasira na wenzie wamekosa hekima ya uongozi, lakini majuto ni mjukuu, ukianza siasa hizo hata mambo uliyoyafanya na ukasahau utakumbushwa na unaweza kuidhalilisha familia yako, kama mtu zima laazima utafakari jambo kabla hujafanya au kama si hivyo uwe tayari kwa lolote.

  Je Wasira uko tayari kwa lolote? Nadhani jibu ni ndio , ndio maana umelianza hili, ila usije ukafa kwa pressure!!! pole kwa kuanzisha kitu kigumu mzee Wasira.

  Nawasilisha.
   
 2. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 80
  Si tayari khabari ya kumpora Mzee Ndege Mke wake hadi mzee wa watu akafa kwa presha inakumbushwa upya! Mke mwenyewe ndie huyu ambaye anaishi nae sasa kama mchumba wake wa kudumu, wake zake pia amewatelekeza hivihivi bila matunzo! Hili jibabu bana!!
   
Loading...