Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siwezi kuamini leo C.U.F kumwacha mwanandoa mwenza C.C.M anakufa Arumeru.nakushauri uende kumsaidia kama IGUNGA.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
  • Poll Poll
Piga kura yako ya "JF Male Politician Of The Year 2011" hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231097-jf-male-politician-of-the-year-2011-a.html Wana Jamii Baada ya Mchakato wa Kura...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa CCM wa Serikali ya Kitongoji cha Madukani,eneo la Msitu wa Mbogo, Kata ya Mbuguni, Godzed Minja, juzi amerudisha kadi ya CCM na kujiunga na CHADEMA, wakati makada wa chama hicho...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya Wasira kuanza siasa za maji taka mwisho wa siku zitamrudia mwenyewe kwa kuwa siasa za majitaka huwa zinabackfire! Sasa kwa emortions unaweza ukaanza,lakini siku zote zilizobaki duniani...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
JINAMIZI la kisiasa linazidi kumwandama Rais Mstaafu Benjamin Mkapa baada ya wanasiasa na wasomi nchini kuzidi kumshambulia , wakikosoa kauli yake ya hivi karibuni, kudai kwamba hamtambui Mbunge...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM ikishindwa Arumeru nategemea yafuatayo; Mabomu ya machozi na askari wengi kujanzwa Arumeru Kuchelewa kutangazwa matokeo rasmi hadi shinikizo la nguvu ya Umma Pingamizi za kutengenezwa dhidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu: .tumejitahidi kura zimeongezeka .kura zimechakachuliwa .mawakala walihongwa .mkurugenzi wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
kiukweli wadau ccm bila mbeleko ya nec hawashindi chaguzi yoyote, nec wanavuruga majina ya wapiga kura especially vijana, wanahamisha majina ya wapiga kura hovyo na wanakubali ccm kuchezea...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama chake kinajiandaa kusherehekea ushindi Arumeru kutokana na nusu ya maofisa wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Majembe yalisimama kutoa nasaha zao na kuomba kura kwa wana arumeru kwa joshua nasary.Mchungaji msigwa,meya wa moshi mjini, madiwani wa arusha mjini.mbunge wa karatu na viongozi wengind wengi tu...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakati nchi hii inapata uhuru haikuwa na vitu vingi vya kujivunia....Ila wakati wa uongozi wa Jk.Nyerere nchi ilijitahidi kujenga huduma nyingi za kijamii kama 1:hospitali zote za mikoa na wilaya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kuconnect dots nini lilikuwa lengo la barua hii ya 18 October 2007. BARUA YA BUTIKU KWA MKAPA, ENZI MKAPA AKIWA MWENYEKITI WA CCM. CCM imepoteza dira Ndugu mwenyekiti, unisamehe kwa...
6 Reactions
68 Replies
10K Views
Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Profesa Mark Mwandosya kuhusu mchakato wa uchaguzi wa CCM, mkoa wa Mbeya mwaka 2007. Ni kitabu chenye maelezo ya kina jinsi mchakato ulivyoendelea toka chaguzi za...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Wakati wa kampeni za uchaguzi ni wakati muhimu sana katika jamii yoyote. Ni wakati muhimu kwa sababu jamii husika hujiandaa kuchagua viongozi wao wa kuwaweka mstari wa mbele...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida yao nec kuibeba ccm kila chaguzi, sasa tunawaangalia kwa macho mawili nyinyi wateule wa mwenyekiti wa ccm. Mkituimika arumeru, dk slaa tuongoze tupate nec ya watanzania siyo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Photo/File TPDC will partner with Pan Africa Energy Tanzania Ltd to do this, initially targeting 200 vehicles, 100 households, 10 hotels and institutions as well as three CNG stations. By...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi: Wachimbaji wadogo wadogo wa tanzanite huko Mererani wamemkumbusha Rais Kikwete kutimiza ahadi yake aliyoitoa katika kampeni yake ya uchaguzi kuwania urais mwaka 2005 kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
- Huku bongo yaani Ground Zero, pamoja na mapungufu ya Awamu ya nne, kuna mambo mawili muhimu mazuri sana nimeyaona kama legacy ya Rais, Dr. J. Kikwete, nayo: 1. MVUMILIVU WA DEMOKRASIA na 2...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Vituko na vimbweka vimeendelea kutokea kweny kampeni za pale, Mgombea wa CCM alipopanda jukwaan na kushukuru mkuu wa mkoa wa Arumeru ili hali hakuna mkoa huo tangu kipindi cha wakolon, Vimbweka...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…