Tutarajie nini CHADEMA ikishindwa Arumeru?

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
4,995
2,527
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu:
.tumejitahidi kura zimeongezeka
.kura zimechakachuliwa
.mawakala walihongwa
.mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm
 
Nyie boresheni daftari la wapiga kura nchi nzima tena kwa awamu moja tu basi...kazi itakuwa imekwisha.
 
Majibu unayo mwenyewe tangu lini mkenya akachaguliwa kidemokrasia kuwa mbungevwa arumeru?
 
Tutarajie nini endapo CCM itashindwa? Kun kila dalili wameru wamekataa kumchagua Sioi.

Ubashiri ni huu, tutarajie vurugi kubwa kuliko katika jitihada ya kupoka ushindi.
 
Mkuu ungejaribu kuchanganya na zako. Za Mbayuwayu huwa na tabia ya kukushawishi kupost pumba tu
 
muulize sheikh Yahaya au yule mlinzi wa ziada wa Kikwete, si siyo watabiri.
 
Hii ni warm up tu. Fanyeni hujuma yoote CDM ishindwe, tutakaa kimya lakini tunawasubiri 2015.
 
CDM ikishindwa tutarajie kesi mahakamani ziada hakuna na wingi wa kesi gharama za kuendesha then kurudia uchaguzi katiba mpya inatakiwa kurekebishwa ubunge uwe ni wa kupokezana kwa mshindi wa kwanza na wa pili kesi ziishe
 
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu:
.tumejitahidi kura zimeongezeka
.kura zimechakachuliwa
.mawakala walihongwa
.mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm

Hizi zote zitakuwa ni sababu kwao.
 
CDM ikishindwa tutarajie kesi mahakamani ziada hakuna na wingi wa kesi gharama za kuendesha then kurudia uchaguzi katiba mpya inatakiwa kurekebishwa ubunge uwe ni wa kupokezana kwa mshindi wa kwanza na wa pili kesi ziishe

Na maandamano nchi nzima...au siku hizi wameacha?
 
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu:
.tumejitahidi kura zimeongezeka
.kura zimechakachuliwa
.mawakala walihongwa
.mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm

Kama unajua kitakachojitokeza wakishindwa unauliza nini sasa?
 
Sana sana tutegemee
  • mabomu ya machozi
  • matokeo kucheleweshwa kutangazwa
  • pingamizi za kutengeneza
 
Lowassa akifika Arumeru basi CCM itashinda kwa asilimia 70 au zaidi, kwani yeye ni mfalme kwa makabila ya hapo, labda CDM wangemsimamisha Mzee Power Slaa!
 
Back
Top Bottom