"SAUTI YA UMMA ni sauti ya Demokarasia'' by Prof. Mark Mwandosya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"SAUTI YA UMMA ni sauti ya Demokarasia'' by Prof. Mark Mwandosya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndinani, Mar 17, 2012.

 1. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Profesa Mark Mwandosya kuhusu mchakato wa uchaguzi wa CCM, mkoa wa Mbeya mwaka 2007. Ni kitabu chenye maelezo ya kina jinsi mchakato ulivyoendelea toka chaguzi za kata mpaka ule wa mkoa na jinsi viongozi wa chama na serikali walivyoathiri kanuni, taratibu, maadili ya chama na kazi zao. Ni kitabu chenye mafundisho muhimu kwa ccm hasa wakati huu unapokaribia uchaguzi wa chama.
   
 2. m

  mtayeshelwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 836
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Mimi binafisi sijskionna kitabu hicho ila ninamkubali kwa asilimia 100% prof mark mwandyosa ni JEMBE LA ULAYA
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red inaonyesha wazi kuwa akili yako haina akili kwa kuendelea kutawaliwa na wakoloni kifikra
   
 4. m

  massai JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nikati ya wasomi wasio na tija wala manufaa yoyote kwenye hili taifa,hanatofauti na kina karamagi,chenge,balali,werema na mafisadi memgine yote.kama ni msomi na mwenye uchungu na hii nchi kweli angejitoa kwenye hilokundi la manyangau na majizi sisiemu
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu huwezi kujitoa kichwa kichwa, CCM watakumaliza mapema, inahitaji timing ya hali ya juu, kuna watu wengi wanatamani kutoka hata muda huu, lakini kutokana na kubeba ama siri za chama, au serikali au vinginevyo inawawia ngumu kwa usalama wao. Tusubiri tuone itakuwaje kufikia 2015 tutashuhudia mengi zaidi ndani ya nchi yetu!!
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hii thread inazungumzia kitabu kuhusu uchaguzi wa ccm mwaka 2007 mkoa wa Mbeya; ambacho sidhani kama umekisoma!! Kama hujakisoma kitabu chenyewe utatowaje hukumu? Tofauti yako na great thinkers ni kwamba wewe unazungumzia mtu binafsi na wenzio wanazungumzia kuhusu hoja!! Ebu zinduka acha umbumbumbu dunia inabadilika haraka sana.
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  "A book you must die"
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wewe ***** hujui kuwa kufa ni FARADHI!! Huko wanakokwenda wafu ni kuzuri sana na ndio maana hawarudi huku kwa washenzi!! Your father also penned a book must he die?
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tatizo nini sasa" mbona unatumia lugha kali kaka haya basi niseme hivi ili uridhike... A Book you must read.
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Samahani kaka kiingereza chako ulichoandika awali kilikuwa kigumu; sasa hiki ulichoandika nimekuelewa!!
   
 11. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hicho kitabu kinapatikana wapi?
   
 12. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mawazo yako mazuri sana, tatizo hayo majani kwenye avatar yako, ukibadili itakuwa poa sana
   
 13. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uoga mbaya mwenyewe huyo Mark M hapo alipo ni mgonjwa na ugonjwa wake huo unahusishwa sana mahadhimu wake wa kisiasa ndani ya ccm. Na hataki kutoka humo kana kwa nje ya ccm hakuna uhai. Ujinga huo prof afunguke aache ujinga na uoga kwani ndiyo mauti yake. Mafisadi hawafanyi makosa kumteminate.
   
 14. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Ndo maana wa -JF tunataka details za kitabu hiki kimeandikwa lini, mchapishaji ni nani n.k. Jamiiforums huwa tunatoa source, ISBN number , video kwa hisani ya nani n.k n.k ktk kutoa habari.

  Je, kitabu hiki pia kina 'base' kutoka ktk video hii hapa chini?  VIDEO hisani ya emwandosya wa YouTube.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. majata

  majata JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  umemsahau slaa, kujikopesha fedha ya ruzuku bila maamuzi ya chama wakati mikoani chadema hali mbaya.
   
 16. k

  kimeta cha ufisadi JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof,jemae
   
 17. k

  kimeta cha ufisadi JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof,jembe.
   
 18. m

  matawi JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Anaumwa jamani mwacheni akipona naamini atachukua maamuzi magumu maana mmagamba ukileta ujinga kuna polonium
   
Loading...