EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Katika kuconnect dots nini lilikuwa lengo la barua hii ya 18 October 2007.
BARUA YA BUTIKU KWA MKAPA, ENZI MKAPA AKIWA MWENYEKITI WA CCM.
CCM imepoteza dira
Ndugu mwenyekiti, unisamehe kwa barua hii. Nimekuandikia yote yaliyomo katika moyo wangu kuhusu uongozi wa Chama chetu CCM, hatima yake na hatima ya taifa letu. Nia yangu ya kufanya hivyo ni njema kabisa.
Umri wangu sasa miaka 67 na miezi 4. Mimi, kama wewe ni wazee sasa. Wajibu wetu si kulalamika au kufichana ukweli. Wala hatuna wajibu wa kufuga urafiki wa woga baina yetu.
Kwanza: Mimi ni mwana CCM wa siku nyingi, nimeingia TANU mwaka 1958, nikiwa darasa la 12 Tabora Boys Sekondari, umri wangu wakati huo ukiwa miaka 20. Tabia yangu ya utu uzima, imejengwa kwa kiasi kikubwa sana na malezi niliyoyapata katika Chama cha TANUna CCM baadaye.
........
........
Nne: Naamini, kama wewe unavyoamini, katika msingi wa UWAZI na UKWELI. Nimeishi hivyo miakayote; ndivyo nilivyolelewa na chama, wazazi wangu na Baba wa Taifa, Mwalimu J.K. Nyerere, ambaye, kama alivyofanya kwa viongozi wengine wengi wa taifa letu, amekulea wewe kisiasa na kukusaidia kukufikisha katika nafasi uliyo nayo leo ya Urais na Uenyekiti.
Tano: Mimi naamini CCM sasa imeanza safari ya kuelekea kwenye kifo chake, imekumbatia jambo ovu – RUSHWA – ambayo imeua viongozi wazuri wengi, vyama vya siasa na serikali makini duniani.
Unaweza kuendelea bonyeza HAPA