Majembe yalisimama kutoa nasaha zao na kuomba kura kwa wana arumeru kwa joshua nasary.Mchungaji msigwa,meya wa moshi mjini, madiwani wa arusha mjini.mbunge wa karatu na viongozi wengind wengi tu wa chadema kutoka sehemu tofauti tofauti.
Doctor wa ukweli yupo ameshafika.watu ni wengi sana, kwa kweli hapa chadema wanasubiri tu kuapishwa kwa mbunge wao joshua nasari.watu ni wengi sana na wenye muamko wakutosha.hotuba wanazotoa viongozi wao ni zakutia moyo na kuelimisha.
Hoja iliyopo kwa sisiemu nikua vijana hawana vitambulisho vya kupigia kura,inawezakua nikweli alakini hata hao wazee wanao tegemewa na sisiemu hawako wengi kama vijana walivyo wengi, Nyerere ndio yupo jukwaani akimkaribisha doctor aliekaa darasani sio yule wa kichina alieko beach califonia sasahivi akifisadi kodi za watanzania.
Tulikua chuoni mwanza jana sidhani kama kuna mwanasisiemu hata mmoja jana.ntawapa update zaidi,ngoja nimsikilize doctor ndio anaaoza kazi.