Kuwachokoza CHADEMA na za maji taka labda utajuta maisha yako yoote mzee Wasira!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwachokoza CHADEMA na za maji taka labda utajuta maisha yako yoote mzee Wasira!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 18, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Baada ya Wasira kuanza siasa za maji taka mwisho wa siku zitamrudia mwenyewe kwa kuwa siasa za majitaka huwa zinabackfire! Sasa kwa emortions unaweza ukaanza,lakini siku zote zilizobaki duniani utabaki unajuta na kujilaumu.

  Ukubwa siyo kukomaa sura, ila ni pamoja na hekima! Nadhani Wasira na wenzie wamekosa hekima ya uongozi, lakini majuto ni mjukuu, ukianza siasa hizo hata mambo uliyoyafanya na ukasahau utakumbushwa na unaweza kuidhalilisha familia yako, kama mtu zima laazima utafakari jambo kabla hujafanya au kama si hivyo uwe tayari kwa lolote.

  Je Wasira uko tayari kwa lolote? Nadhani jibu ni ndio , ndio maana umelianza hili, ila usije ukafa kwa pressure!!! pole kwa kuanzisha kitu kigumu mzee Wasira.

  Nawasilisha.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Alafu yakisemwa mazito kumuhusu yeye utamsikia Tendwa anaingilia kati na hoja ya kujenga chuki kwenye jamii.
  Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
   
 3. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Dawa waipeleke ile picha analala bungeni yani itakuwa imemmaliza kabisa. jitu zima ovyoo
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wasira hata akibreak air harufu yake inanafuu kuliko akili na hekima,Mungu alishamlaana ndiyo shetani akampa Uchawi.ULE USINGIZI WAKE NI UCHAWI AT WORK.ZEE HILI HAMNAZO KABISA.NGOJA SLAA AJE KUISHAMBARATISHA AKILI YA JIZEE HILI AMBALO LINGEKUWA BABA NINGELIKANA KIKATIBA.
   
 5. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kamanda Lissu alisema "Ukiwa mnafiki ujanani, uzeeni lazima uwe mchawi"
  Hili lizee limekua kwenye unafiki toka likiwa kijana, lazima litakua na hiyo sifa alotaja Lissu.
  Halafu atarithiwa na Nepi. Mzee mzima hovyooooo!!
   
 6. v

  vngenge JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hivi tendwa anasubiri nini kumkataza wassira au ndo double standard
   
 7. M

  Mchomamoto Senior Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha kweli yaani Wassira sijui hii jeuri kaitoa wapi,hivi CDM wakienda na ile picha yake wakawaambia wana-Arumeru kuwa hiyo ndiyo kazi ya wabunge wa CCM kulala bungeni hivi mgombea wao atasalimika kweli?
   
 8. p

  pazzy Senior Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hivi Inakuwaje unakubali mtu kama WASIRA aje akuombee kura kwa wananchi? kwamaneno yakejeli aliyoyatoa yaani ninavyotamani viongozi wachadema wagawe kwa wananchi zile picha zake alizosinzia bungeni Iliwananchi waelewe Ilivyo hatari kumchagua mbunge wa ccm kwani bungeni kazi yao kugonga meza na kusinzia....wana arumeru eleweni CCM pamoja na serikali yake sio watu makini jiulizeni kama alishindwa baba kutatua kero za maji na ardhi je' mtoto ataweza......ngastuuuuuuuuuuuuuka?
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  HAPA ANACHEKA
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wasira inaonekana amekosa radhi toka kwa wakongwe wake..mzee mzima sura pekupeku na bado anajileta kama vile anapendwaaaa kwa taifa hili..
  CCM wamejichanganya kuanzia kila mwenye rangi ya kijani..mganga wenu wa bagamoyo kwishiney
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Yanayosemwa na wassira yanahitaji uchunguzi kubaini ukweli
   
 12. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Very Simple.WABUNGE WA CCM wakienda bungeni ni kulala wakati wenzao CDM wanatetea wananchi.Sambaza waraka.PICHA KUBWAAAA YA WASIRA AKIWA AMELALA
   
 13. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Hakuna ukweli wowote.Dr Slaa ameacha upadri mwenyewe kwa kufuata taratibu zilizopo katika kanisa katoliki.I am a catholic and i know this.Procedures zote amezifuata na wala hakufukuzwa.Aliaminiwa sana na TEC hadi kupewa wadhifa huo wa katibu wa TEC.Suala la upadri au uana ndoa ni wito ambao ni namna mtu anataka kuishi maisha yake,ni uhusianpo wake na Mungu.Ukiamua kwa ari yako kutoka kwenye upadri ni ruksa.

  Dr Slaa sio mnafiki,kuna watu wengi wanaishi kwenye upadri lakini wanavunja taratibu.Yeye ameamua kuwa wazi na kuamua kutoka.
   
 14. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh! Kwi kwi kwi kwi! Aaah nawahi bar!
   
 15. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ukubwa siyo kukomaa sura ni pamoja na hekima. Lakini pia ilisemwa hapa kuwa mkubwa akichoka akili hubwabwaja. Sasa hivi yanabwabwaja tu kunonesha kuwa wamepitiliza kun'gan'gania madaraka.
   
 16. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mbona picha za kulala bungeni sijaziona jamani?
   
 17. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Picha ninayo hivi naiingizaje?
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  mi na mk*wap mpaka nipewe ban. Lipipa limeua ba*ba wa tai*fa
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inaonekana wasirra amewashika CDM pabaya sana , ukisoma thread zote Leo humu jf Wanamaker CDM wanalalamika na kulia lia km watoto. Kaza buti wasirra ulipowashika ndipo hapo hapo wala hujakosea
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jibuni hoja za wasirra picha wala haisaidii wakuu
   
Loading...