JF Female Politician Of The Year 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Female Politician Of The Year 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Superman, Mar 7, 2012.

?

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Female Politician Of The Year 2011"?

Poll closed Mar 9, 2012.
 1. Faiza Foxy

  31 vote(s)
  46.3%
 2. Josephine

  36 vote(s)
  53.7%
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Piga kura yako ya "JF Male Politician Of The Year 2011" hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231097-jf-male-politician-of-the-year-2011-a.html

  Wana Jamii

  Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls kwa Kuzingatia Sheria za Uchaguzi; Kanuni na Taratibu.

  Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition-2.html

  Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila JF Female Politician - 2011.


  Majina yaliyopitishwa kupigiwa kura ni:

  JF Female Politician Of The Year 2011 ni:

  1. Faiza Foxy
  2. Josephine


  Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
  JF Female Politician Of The Year 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition-2.html

  Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

  NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

  Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.

  Signed & Sealed:

  [​IMG]
  Superman
  Chairman - JEC

  [​IMG]
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Vituo vimeshafunguliwa!
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tehteheteheteh kumbe rejao alipigwa chini
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  kumbe rejao ni mmama
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mbona wamemsahau Ritz?
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  sikujua
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sijaupenda mpambano wa leo k ani unahusisha mke/mpenzi wa mwanasiasa mkubwa Tz anayejulikana physical na mwanachama wa kawaida wa jf asiyejulikana physical.
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  *****!
   
 9. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Superman mbona kuna majina mawili tu?, tupatie option tofauti mkuu.
   
 10. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Umeongea ukweli kabisa mkuu......

  Hata mimi sijaupenda kabisa huu mpambano...Binafsi sijauona mchango wa Josephine katika Jukwaa la siasa ndani ya JF...Ni vema tungekuwa tunapewa na links za michango(posts) za member husika ili tuangalie umahiri wake katika kuchangia hoja za Jukwaa husika.....Hapa ndio tutaweza kuona umahiri wao na kujua nani anastahili kuwa JF FPoY
   
 11. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wakuu Wangu;

  Unfortunately kura zenu ndo zimemfikisha hapa na mimi naangalia wingi wa kura.

  Ningemtoa ningeambiwa JEC imeshakachua.
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nilitaka kutoa pingamizi lakini nikaona kura zimeanza kupigwa. Siamini pia kwamba ameweza kupita kwenye vigezo namba 3' 4 na 5.
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpambano huu hauko fair! huwezi pambanisha known member (Josephine) na anonymous (FaizaFoxy)
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Hebu kuisaidia tume basi wekeni sababu zenu zote hapa badala ya kuambiwa tu hastaili wakati kura zenu zimestahilisha.
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mwaka jana alikuwa Regia (RIP).

  What do we have to say on that?

  Shida ni kuwa watu hawatoi mapendekezo wala kupiga kura kwa wakati wanasubiri matokeo.


  Hii inafanana kabisa na yanayojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa Nchi.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Aisee nilidhani ungekuwepo! Duh wamechakachua! JEC nao kama NEC. Tujuzeni zawadi
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
 18. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa usumbufu mheshimiwa Mwenyekiti.....

  Kiukweli Josephine hajakidhi vigezo namba 3, 4 na 5.....Nadhani Ashadii(naye alipata kura 2 kama Josephine angefit hapa.....Hata Gaijin ama Regia(R.I.P) wangepewa tu nafasi ya kushiriki japo walikuwa ni washindi wa mwaka jana.....)
   
 19. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu Gaijin?.....Naona kama katika mapendekezo amepata kura 3 vile......
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi kuhusu vigezo namba 3,4 na 5. Mimi kwa mawazo yangu naona kama Josephine hajapita kwenye hilo tanuru ukilinganisha na Faiza Foxy na wengine ambao walipendekezwa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...