Lowasa simuelewi mapambano yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa simuelewi mapambano yake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kijenge, Mar 18, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Lowasa anavyosema yuko tayari kwa mapambano niyapi?kwani anataka rich mondi ilipwe bdo anataka uraisi 2015 bdo anatakiwa kujivua gamba sa2 hayo mapambano niyapi?au sioi aingie mjengoni?au mapambano ya kuendelea kutuibia.
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  2015 cdm itakapo chukua nchi ndio tutajua yote.mwacheni aongee ni haki yake.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mapambano ya kwenda ikulu hata kwa kutumia damu za watz ila yeye atimize malengo yake ya kisiasa na kukidhi uroho wake wa madaraka.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  cha ajabu nini?? maisha ni mapambano kwa binadamu yoyote yule hata mlalahoi.

   
Loading...