Tutegemee nini CCM ikishindwa ARUMERU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutegemee nini CCM ikishindwa ARUMERU?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Baba C, Mar 17, 2012.

 1. B

  Baba C Senior Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CCM ikishindwa Arumeru nategemea yafuatayo;
  • Mabomu ya machozi na askari wengi kujanzwa Arumeru
  • Kuchelewa kutangazwa matokeo rasmi hadi shinikizo la nguvu ya Umma
  • Pingamizi za kutengenezwa dhidi ya mshindi.
   
 2. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ngoja tuone wenyeww watakavyohanya
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wapi Rejao?
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Na wale wenzake,thatha,Malaria sugu,,,,,,,,,,,,,,,
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Acha kuiga thread za watu wewe yaani baada ya jana kuanzisha topic inayosema tutarajie nini cdm ikishindwa huko Arumeru bila hata aibu umeamua kwa makusudi kabisa kukopi na.kupesti
   
 6. B

  BMT JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  ccm ni chama kikubwa hakina waswas na ushindi wa arumeru,tunatarajia ushindi tena wa kishindo
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Dawa ya CCM ni kudhibiti wizi tu, hawana ujanja wa kushinda bila wizi. Kula ccm, KURA CDM
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  nani kakwambia itashindwa?
   
 9. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufukuzana kwenye CC na kubadiri katiba ya magamba, Rais (kiongozi mkuu wa serikali) asiwe mwenyekiti wa chama.
  Lowasa kukamata usukani wa chama, then Nape na wenzie finito!!
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Watadai kuna baadhi ya makada wanakihujumu chama! Watadili nao!
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  meneja wao wa kampeni atatoswa. hii ilitokea tarime.
   
Loading...