Arumeru Mashariki: Mwenyekiti wa CCM ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru Mashariki: Mwenyekiti wa CCM ahamia CHADEMA

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Quinine, Mar 18, 2012.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,104
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa CCM wa Serikali ya Kitongoji cha Madukani,eneo la Msitu wa Mbogo, Kata ya Mbuguni, Godzed Minja, juzi amerudisha kadi ya CCM na kujiunga na CHADEMA, wakati makada wa chama hicho wakimnadi Mgombea waoNassari wilayani humo.

  Akizungumza mara baada ya kujiunga na CHADEMA, Mwenyekiti huyo Minja, alisema kuwa amefanya uamuzi huo kutokana na kuona CCM haina sera zaidi ya kusambaza matusi na kashfa badala ya kujibu hoja za msingi.

  "Mimi naahidi nitakuwa mwana Chadema safi na mwaminifu na sitarudi nyuma katika mapambano haya, CCM imepoteza mwelekeo,'' alisema Minja.

  Alisema kuwa atatumia muda wake mwingi kuhakikisha CCM katika Kata ya Mbuguni inapotea kabisa kwa sababu hawana sera za kuwaeleza wananchi juu ya ugumu wamaisha waliyosababisha na kuchangia viongozi wa chama hicho kupata wakati mgumukwa Wananchi.

  Naye Mchungaji Israel Natse, akizungumza wakati akimnadi Mgombea wao, Nassarialisema kuwa eneo la Msitu wa Mbogo, Kata ya Mbuguni CCM imekwisha kwa sababu wanachama wengi wamehama chama hicho na kujiungana Chadema, kutokana na sera zao za matusi mbele ya watoto wadogo.

  Alisema kuwa wanachama zaidi ya 300 wanasubiri Katibu wa chama hicho Taifa Dk.Slaa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, ili wakabidhi kadi hizo na kukabidhiwa kadiza Chadema mbele yao.

  Mwananchi.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hongera sana mwenyekiti kwa kutofautisha giza na nuru. Karibu
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Atakuwa kapewa hela huyu!!
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,104
  Trophy Points: 280
  Whatever the case.
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ahsante sana mwenyekiti haba na haba hujaza kibaba
   
 6. S

  STIDE JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mh!! ****** hajaanguka kweli!!?
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ukiendelea kuwa mshabiki,mpenzi au mwanachama wa CCM lazima uwe na sifa zifuatazo...kwanza,lazima uwe una njaa kali,unapenda kulamba miguu ya mafisadi,pili lazima uwe na upungufu mkubwa wa akili aka tahaira...
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  safi sana mwenyekiti umeuona mwanga
   
 9. S

  Sept-11 Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hongera sana mzee Minja..
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hongera zake.
   
 11. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MINJA, Minja, minja si mchagga huyu, hakuna ajabu kwa chadema.
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  Huyu mwenyekiti kagundua kuwa kuitetea CCM inahitaji mtu mwenye akili ya maiti.
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  wanaotoa hela ni ccm na sio chadema!
   
 14. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  "Mwenyekiti wa CCM wa serikali ya kitongoji" Hakuna nafasi hiyo kwenye CCM niijuayo mimi! Huyo kakupigeni mchanga wa macho, na kama hata nyinyi hamfahamu mfumo(structure) ya CCM basi mna walakin pia!
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkapa huyo aende tena labda ni mda wa Sumari kukabidhi naye kadi yake
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu acha generaliza mambo si kweli kuwa wachagga wote ni cdm, peleka huu ***** wako facebook , shame on you
   
 17. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Embu mtu anipe kirefu cha CHADEMA chap chap .
   
 18. L

  LULENGO Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mwenyekiti kapateje huo ujanja? kweli people's power ni dawa hapa Mwanza jamaa zangu wawili kutoka office ya mkuu wa mkoa walijivua magamba na kuvalishwa magwanda hadharani mbele ya Dr Slaa na umati mkubwa wa wakazi wa Mwanza,ishara ya ukombozi 2015 wa Mtanzania.Arumeru hoye Nassari juu tuko pamoja wazee.
   
 19. t

  tweve JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  we ndo hujui jinsi wanavyopatikana hao wenyeviti wa vitongoji,alishinda kwenye uchaguzi kupitia ccm vipi bado mgumu kuelewa?
   
 20. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Minja anaweza pia kuwa Mpare au hata Mmeru....umesahau ya Fatma Kimario eeh? kajipange upya bob!
   
Loading...