Nec wakichakachua kura na arumeru mashariki, tudai tume huru ya uchaguzi kabla 2014.

MASEKE TEE

Member
Mar 17, 2012
34
10
Imekuwa ni kawaida yao nec kuibeba ccm kila chaguzi, sasa tunawaangalia kwa macho mawili nyinyi wateule wa mwenyekiti wa ccm. Mkituimika arumeru, dk slaa tuongoze tupate nec ya watanzania siyo ya ccm kama hii. Ni aibu wasomi kuburuzwa na makada, magamba, tena majaji wanaotakiwa kusimamia haki na sheria.
 
Nec ni sehemu ya tatizo, sasa lubuva tunataka tuuone uadilifu wako arumeru, utasimamia haki au utafuata nyayo za kina kiravu. Watch out, matatizo yetu watz, kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na ccm na nec. Kutulazimisha viongozi tusiowachagua.
 
Back
Top Bottom