Nec wakichakachua majina na kura arumeru tudai tume huru ya kabla 2014.

MASEKE TEE

Member
Mar 17, 2012
34
10
kiukweli wadau ccm bila mbeleko ya nec hawashindi chaguzi yoyote, nec wanavuruga majina ya wapiga kura especially vijana, wanahamisha majina ya wapiga kura hovyo na wanakubali ccm kuchezea daftari lao electronically kma walivyofanya igunga. Mytake huu ndio mtihani wa kwanza wa lubuva, wakinyima haki cdm iitishe maandamano yasiyo kikomo nchi nzima kudai tume huru kabla ya yote, mutaona ccm watakavyokuwa upinzani hata msoga.
 
Haya ya ccm kununua kadi za wapiga kura tutayazibiti street, kama wananchi wanavyojichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka, akipewa fundisho ccm mmoja tu wataacha kama si kuogopa. Tumechoka nchi haiendelei wanatuongoza kwa hila. Aaaaaaaaaaaaaaah!!!
 
kiukweli wadau ccm bila mbeleko ya nec hawashindi chaguzi yoyote, nec wanavuruga majina ya wapiga kura especially vijana, wanahamisha majina ya wapiga kura hovyo na wanakubali ccm kuchezea daftari lao electronically kma walivyofanya igunga.
Mytake huu ndio mtihani wa kwanza wa lubuva, wakinyima haki cdm iitishe maandamano yasiyo kikomo nchi nzima kudai tume huru kabla ya yote, mutaona ccm watakavyokuwa upinzani hata msoga.

Kwa nini tungoje, madhara ndio tuchukue hatua?
Kama mapungufu yanaonekana ilipaswa tuchukue hatua mapema sana?
Kama 2010, walichakachua matokeo ya urais (kwa mujibu wa CDM) mbona wananchi hawakuchukua hatua?
Tatizo kubwa ni wananchi wenyewe hawajui nguvu waliyo nayo. Au kama wanajua, basi ni wavivu wa kuchukua hatua
View attachment 49593
 
Tatizo kubwa ni wananchi wenyewe hawajui nguvu waliyo nayo. Au kama wanajua, basi ni wavivu wa kuchukua hatUOTE]
 
Nimekusoma mjasiliamali, ila mtikisiko waliioupata baada ya kuchakachua uchaguzi wa 2010, na kudandia mabadiliko ya katiba kwa shingo upande, wameshajua mwamko na mwitikio wa umma dhidi ya mabadiliko, tunapokwenda ni karibu sana watake wasitake. Hii ya nec kuteuliwa na mwenyekiti wa ccm ni zaidi uhuni. Tumechokaaaaa.
 
Je, wananchi na vyama vya upinzani wanadhibiti vipi suala la kuhamisha majina? Inabidi kuwa makini hapo.
 
Haya ndiyo yatakayosemwa baada ya uchaguzi wa Arumeru na kila chaguzi zozote zinapopita...ngoja tuone maana April 1 siyo mbali.
 
Kwa nini tungoje, madhara ndio tuchukue hatua?
Kama mapungufu yanaonekana ilipaswa tuchukue hatua mapema sana?
Kama 2010, walichakachua matokeo ya urais (kwa mujibu wa CDM) mbona wananchi hawakuchukua hatua?
Tatizo kubwa ni wananchi wenyewe hawajui nguvu waliyo nayo. Au kama wanajua, basi ni wavivu wa kuchukua hatua
View attachment 49593

I like this!
 
Back
Top Bottom