Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri...
Wana JF, hapa wala sijui lolote, baada ya kumwona mh Mwakimbe akitinga ndani ya office nimemkumbuka na Mh Mandosya
Yupo wapi naye jamaa, Gamba linapwaya kiaina
Tanzanias appeal to block a case against the construction of a highway across the Serengeti National Park was dismissed on Thursday by the East African Court of Justice.
The Appellate Division...
Written by santorini // 18/03/2012 // Habari // 4 Comments
Nchi yoyote duniani ikipitisha sheria ya kusema Raisi asishtakiwe ni nchi yenye ubaguzi wa hali ya juu.
Hizi ni fikra zangu ,sasa...
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA...
Ngd zangu hii nchi ni yetu sote!je!? huu ujinga tutaufumbia macho mpaka lini? kwani ccm kwa sasa wameamua kuchezea pesa za wavuja majasho kwa huuujinga kwa sasa wameamua kufungua kesi za kupinga...
nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi...
Na Martin Malera
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya chakula cha hisani kuchangia kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kanisa Katoliki Ifakara. Harambee...
Ninamshauri Bw. Lusinde kwenda shule hata kidogo tuu kwa kuwa hekima ya kawaida Mungu hakumjalia! Siasa siyo kupayuka tuu jambo lolote provided umepewa kipaza sauti, hebu katafute hekima ya...
Nimefanya 'observation'na kugundua kabisa hivi sasa ukikisema vibaya CDM UNAKUMBWA NA UGONJWA WA KUPUNGUKIWA NA UMAARUFU(UKU).Kwa yeyote anayetaka kupata ushahidi,afungue thread yoyote inayohusu...
Kwa ukweli katika falsafa za wanahistoria,mapinduzi hufanywa na makabwela.Tanzania imeshajitokeza hasaaaa kwani daraja hili ndilo ambalo linajitokeza kwa wingi na kuchangia mamilioni kwenye...
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia...
Mtanisamehe kwa kukosa maneno fasaha ya Kiswahili kutuma ujumbe uliobebeka katika kichwa cha habari, Lakini nadhani tafsiri ya kuungaunga ni kwamba CHADEMA sio MALAIKA ila ni afadhali kuliko CCM...
Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama makini, kikongwe, chenye uzoefu na sera nzuri sana tofauti na chama chochote kile hapa Tz lakin tatizo kubwa la CCM huwa ni viongozi wake, pamoja na CCM kuwa na...
Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri...
....Kwa hali navyoiona kwenye kampeni kule Arumeru Mashariki nasikitika kwa CDM kuzindua kampeni zake kistaarabu.Lakini pia nasikitika kwasababu magamba wametumia nafasi hiyo kutukashifu na...
Mh. Jaji Gabriel Rwakibarila Mruhusu Mh Godbless Lema afanye kazi ya wananchi.
LEMA AOMBA KESI ITUPWE
Peter Saramba, Arusha
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, jana aliiomba mahakama kutupilia...
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 14 March 2012
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, aweza kufukuzwa kwenye nafasi yake wakati wowote, imefahamika.
Kufukuzwa kwa Masaburi kwenye nafasi...
- Well, sasa nipo bongo so pole pole ninaanza kujionea ukweli mwingi sana amabo umekuwa ukifichwa, moja wapo ni who is Muandishi Kibanda, I mean at onetime through hapa na blogs zingine nilikuwa...
Kila uchaguzi tunaona chadema ikipata support kubwa sana kutoka kwa wananchi ila matokeo huja tofauti na muonekano wa kampeni zake...KUNANI HAPA?:A S 13: MI SIELEWI