CHADEMA kama tunataka kupata ushindi kirahisi Tumtumie Dr. Slaa kwenye campaign hata udiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kama tunataka kupata ushindi kirahisi Tumtumie Dr. Slaa kwenye campaign hata udiwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 19, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri Slaa lakini bahati mbaya kutokana na mizengwe hakufuka, yaani Wananchi walitaka wamuone tuu harafu apate kura zoote.

  CHADEMA mna mtaji sijui kama mnalifahamu hilo viongozi wetu, nawaomba katika kata ya kiwira, Tukuyu hebu tumieni huo mtaji, akitua pale tuu mnayo hiyo kata, nawahakikishieni kwa asilimia zoote mtachukua hiyo kata.

  Siyo kuwa sithamini mchango wa viongozi wengine, ila kila mtu ana mvuto wa tofauti.

  Nawasilisha
   
 2. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  true dat.....INBIDI DOKTA WA UKWELI APITE KILAKONA YENYE MAPAMBANO!!! HALAFU VP,HUKO KIWIRA MH SILINDE NA SUGU HAWAJAFIKA?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ushauri mzuri sana!
  Naamini wahusika wameipata hii Live!
   
 4. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  po sahihi mkuu
   
 5. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nakumbuka hata UZINI zanzibar pia mlimtumia vizuri alienda pia
   
 6. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hapana nashauri tusimtumie vibaya Dr Slaa, cdm bado ina watu wengi wa kufanya kazi hizo.
   
 7. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  kaka hata saizi ninavo coment nimetoka kwenye kampeni za chadema kata ya kiwira kaka hawa watu wote wanamvuto kwasababu wanafunika mbaya hawa wenzao kaka jamii imewatosa kabisa hawana mnvuto kabisa
   
Loading...