MH: Mark Mandosya yupo wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MH: Mark Mandosya yupo wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Mar 19, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wana JF, hapa wala sijui lolote, baada ya kumwona mh Mwakimbe akitinga ndani ya office nimemkumbuka na Mh Mandosya
  Yupo wapi naye jamaa, Gamba linapwaya kiaina
   
 2. B

  Blessing JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :scared: Mhhh!!! usikute na yeye pia Mandosya pia wanamkulimba jamani ... Hawa Magamba watauua wangapii jamani ??? Aise they are killing them silently. Jamani watu hawa wawe wangalifu huko maofisini mwao.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Prof.mwaikusa alishatangulia,mwakyembe mungu amemponya lakini mzee wetu mwandosya mungu atamponya tu.tumuombee wana JF.
   
Loading...