Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo asubui alikuwa tbc akizungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchumi na ya chama chake cha cuf. Kati ya meengi aliyozungumza ni hili alisema kwamba Mwalim Julius K Nyerere alitabiri kwamba chama cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
WANACHAMA Saba wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) wamejitokeza kuchukua fomu za Ubunge wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kupitia chama hicho, wakiwemo wabunge watatu wanaomaliza muda wao. Katibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ujumbe huu ni mzito kwangu, kwako na kwa wananchi wa Tanzania kwa ujumla . Hotuba ya Mwalimu Nyerere, Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma - 1995 - YouTube!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf. Ni wakati mwingine wa vijana na wazee wetu pia kukumbushana mambo muhimu yenye manufaa ktk maeneo tuishiyo na taifa kwa ujumla. Sote, tunajua wazi hali halisi kiuchumi na...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Ndugu wana CHADEMA nashauri Salamu ya CHADEMA iwe hivi,"PEOPLE POWER"kiitikio kiwe "MOVEMENT FOR CHANGE"je wewe unaonaje? Toa wazo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani hapa limewasimamisha kazi maofisa waandamizi 13 wa halmashauri hiyo baada ya kuipitia taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TORONTO - Union officials say a wildcat strike by Air Canada ground workers that started in Toronto and spread to other airports is over. Union spokesman Bill Trbovich says three workers were...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015...
0 Reactions
168 Replies
12K Views
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
mlima kilimanjaro, wanyama, madini, misitu n.k ni baadhi ya mali asili katika nchi yetu ambazo kama zingewekewa misingi mizuri na sisi leo tungekuwa miongoni mwa nchi tajiri. Badala yake wananchi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi ndiyo namba za kuichangia CDM kwa M-Pesa 0763744334 0757755333
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye macho haambiwi tazama,serikali inatumia nguvu ya hali na mali pale A.MASHARIKI,sasa kama lile shazi la wabunge wa CCM na mawaziri wangekuwa wanagombea ingekuwaje.Je,mwaka 2015 kama itakuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania...
4 Reactions
89 Replies
9K Views
Dr.Kitila Mkumbo akiongea kwenye kipindi cha This week in perspective amedai kuwa kama angekuwa na mamlaka basi angewaondoa au kutowaruhusu makampeni meneja waongee au kumnadi mgombea katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dk Slaa na ardhi Katikamikutano ya jana, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alimshambuliaNaibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Gudluck Ole Medeye kwambaanahusika na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sipendi staili ya kampeni wakati wa chaguzi kuu na ndogo hapa nchini. Kampeni maana yake ni KUSHAWISHI wapiga kura ili waone uzuri wa mgombea (na pengine chama chake) hatimaye kufanya UAMUZI wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mama maria alishafunga mjadala huu mwalimu alikuwa na mke mmoja tu wake za julius Nyerere wengine mnatokea wapi kubishana na kauli ya mama wa Taifa? Maria Nyerere asidhani anaweza kuwafanya wote...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mshamu aliyekuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya cuf ni mtu mahiri mchapakazi mtetezi wa wanyonge hapa ulanga.kwa kuwa cuf imekufa njoo cdm kwanza hustaili kugombea udiwani gombea ubunge mama selina...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, Naamini wengi wetu tumekuwa tukiipa uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki kipa umbele. Ndiyo, uchaguzi huo ni wa muhimu ili kuwapa fursa wananchi wa eneo hilo kumchagua kiongozi wamtakaye. Mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…