Wahaya kutoa tamko kuhusu kuonewa kielimu baada ya uhuru

Halfcaste

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
972
215
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.
 
ICC mnataka kulipwa fidia nini?
 
Ikisha Wachagga nao waje na kudai malalamiko yao ya kubaguliwa shule za serikali kwa madai eti wanamaendeleo sana kushinda makabila mengine. Halafu na waarabu nao waje kutoa madai yao shule zao nyingi zimechukuliwa na serikali kama Tanga, Zanzibar na evidence zipo. Tutafika????
 
Too low
 
Heading: wahaya WOTE kutoa tamko.
Mimi ni Mhaya lakini hilo tamko ndio kwanza naliona humu.
 
..kwa hiyo ina maana kuna Wahaya walikuwa wanafaulu mitihani lakini wanaachwa na badala yake wanachukuliwa wenye alama ndogo?

..nadhani huo ni uonevu wa waziwazi na haijalishi hata kama kulikuwa na chembe ya "nia njema."

..kilichopaswa kufanyika ni kuboresha mazingira ya utoaji elimu ktk hayo maeneo mengine, na siyo kuanzisha utaratibu wa kuwafelisha wananchi wa kabila la Wahaya.
 
Tena anzeni kudai mapema au unganeni na wachaga,na wale wa vikofia waliokaa juzi diamond na mza ili kwa umoja wenu serikali ya mkwere itawalipa baada ya kulipa dowans
 
Mkuu ukileta evidence. Si maneno legal document ya kuongeza maksi kwa kabila moja regardless ni kwa wahehe au wachaga nakuhakikishia hali itachafuka. Haraka haraka nimefikiria kama ukileta ushaidi tunafile kesi Vs the URT kuiomba mahakama kuiamuru serikali iwapeleke masomoni wale wote waliokuwa na vigezo wakaachwa. Hii ni dhambi wala si sera,ikidhibitika ni kweli basi tunaweza kuanza kusema kuwa Tanzania kuna ukabila. Pia miaka 7 ijayo nataka kufile caseVs the statehouse kwa kutamka hadharani kuwa mhaya na mchagga hawatakaa wapate rais. Haya yalikuwa maneno ya ikulu ya wakati huo na kwa kuwa rais ni taasisi basi itashitakika baada ya kupata evidence. In the course time,we shall make reality. Mkuu tundika evidence tuanze maandalizi!
 
ICC mnataka kulipwa fidia nini?

Ndio Mkuu hapa ni ishu ya fidia kwa waanga wote,ambao wengeitumikia serikali hii na mkoa wao katika nafasi mbalimbali.Nadhani mahakama itaamua kulingana na hukumu yenyewe
 
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.

source???????????????
 
Ikisha Wachagga nao waje na kudai malalamiko yao ya kubaguliwa shule za serikali kwa madai eti wanamaendeleo sana kushinda makabila mengine. Halafu na waarabu nao waje kutoa madai yao shule zao nyingi zimechukuliwa na serikali kama Tanga, Zanzibar na evidence zipo. Tutafika????

Subiri tumalize hili letu ambalo infakt evidence zipo clear beyond reasonable doubt,tofauti na madai ya kidini yasiyo na evidence
 
Mimi nawaunga mkono watu wa Kagera na Wahaya in particular on this

Haiwezekani they took the bigger brunt of our war with Uganda halafu in the end no meaningful investments au post conflict reconstruction ya maana iliyopelkwa kule

The same nawaunga mkono watu wa Mikoa ya Kusini, Tanga na Pemba

I'm with you watu wa Bukoba/kagera / wa Haya

I never understand why people get ridiculed wanapotaka equal share of national cake kama wanavyopata watu wa mikoa ya Kaskazini
 
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.

tunajua Wakiziba ni kawaida yenu kufanya misifa.

(ila nimecheka sana mkuu).
 
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.

Kazi ipo...wanasemaga don't dare to let the Jin out of the bottle...........yaleyale ya kufungua pandora box kwani hujui yatakayotoka humo...
 
Heading: wahaya WOTE kutoa tamko.
Mimi ni Mhaya lakini hilo tamko ndio kwanza naliona humu.[/QUO

Soma mtaala wa elimu baada ya uhuru haukutendea haki wananchi wa Kagera kama Watanzania hivo ICC ifanye determination ya damages wahanga walizopata
 
Back
Top Bottom