Kwanini habari za chama cha wananchi CUF haziandikwi wala kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini habari za chama cha wananchi CUF haziandikwi wala kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shakeel 11, Mar 23, 2012.

 1. shakeel 11

  shakeel 11 Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya mikutano mikubwa ya hadhara lakini kesho yake hakuna hata chombo kimoja cha habari kitakacho kuwa kimetoa habari ya jumapili tarehe 11/03/2012 walifanya mapokezi makubwa sana ya kiongozi wao kwa takwimu za haraka hakuna mapokezi makubwa kama yale kutokea tanzania ukiondoa msiba wa baba wa taifa labda ndio yanaweza fanana kwani yaliyazidi mapokezi ya papa mwaka 1990 na mandela pia alipotembelea tanzania lakini chakushangaza jumatatu yake hakuna hata sehemu yalipotangazwa mbaya zaidi nilikuwa naangalia taarifa ya habari waandishi wa itv walisema wameshindwa pata habari zaidi kutokana na kutishiwa kupingwa na mashabiki wa cuf japo jambo hili si kweli kwani toka kampeni za uhaguzi mwaka 2010 itv imekuwa haitohi kabisa habari za cuf labda tbc ndio imekuwa ikionyesha habari za cuf japo kwa udogo

  sasa huwa najiuliza chanzo ni nini? Mpaka tumekuwa tunalazimishwa kusikilizishwa sera za kukopi za vyama viwili tu. Au wahariri nao siku hizi wamekuwa kama madj hawatohi habari mpaka kitu kidogo kwanza

  maana kama wanachama cuf bado wako wengi na mapokezi yalidhililisha hilo hata slaa alijionea umati ulivyo jaa irport tarehee 11/3 2012 kweli bongo hakuna wasomi wenye kujijua watu wote wamekuwa watumwa wa wana siasa
  kwa sababu kutoandika habari za vikao au mikutano ya vyama vingine ni kutunyima haki yetu wananchi kuchagua chama chenye sera nzuri.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hivi sasa CUF wamefufua gazeti lao linaitwa FAHAMU.Kila habari yao utapata huko.Linatoka kila Jumatatu.
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wameunda sirikali ya mshikamano wa kitaifa na ccm hivyo hakuna haja ya vyombo vya habari kurusha habari za cuf na ccm separately itakuwa ni kurusha habari ile ile. Subiri hadi ndoa itakapo vunjika
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za CUF haziuziki na wala hazina mvuto kwa wasomaji hivyo basi kuzichapisha zaweza kusababbisha watu wasinunue magazeti na kusababishia kampuni husika hasara

   
 5. w

  woyowoyo Senior Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo mfumo, wanakibeba chadema wewe huoni hata slaa akiwa chooni anak.,nya kesho utakuta gazetini.
   
 6. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Haya bana wowowo! Sikutegemea ndg yangu wowowo kama ungeweza kujibu vizuri namna hii. Watu kama ninyi ni wachache sana na ndo mmeiletea Tz mafanikio makubwa namna hii. Wiki ya maji mmeazimisha na mabomba yanatoa maji kila kona Nchi hii. Big up wowowo!
   
 7. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mbona unasema slaa kaona! kaonaje kama si kwenye vyombo vya habari. hata mimi niliona labda kama ulitaka irudiwe kwa siku kadhaa. nadhani mambo hayaendi hivyo. lakini pia misimamo yao ni mashaka matupu miongoni mwao kwa hiyo wengi wanaona kama vile hakuna jipya.
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  endelea kujiuliza ndugu badala ya kufanya utafiti mwenyewe! Amani kwako.
   
 9. y

  yplus Senior Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeyaona ya CUF tu?,vipi kuhusu
  NCCR Mageuzi
  TLP
  UDP
  CCJ
  Kila jambo na wakati wake,Nakumbuka miaka ya 90 NCCR kabla ya kuchakachuliwa na CCM ilikuwa juu balaa na kila Media ilikuwa ndo story...
  Ndoa ya CUF na CCM imepoteza mvuto wa Chama cha CUF...
  Sio Bara tu,Huko Unguja na Pemba ndo kabisa kimebaki Screpa...
  RIP CUF...
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wengi tuko Arumeru ndizo habari zinazouza magazeti kwa sasa.

  CCM tuko Arumeru, Chadema wako Arumeru, CUF watusubiri kwanza hadi uchaguzi utakapoisha wataanza kuandikwa.
   
 11. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Majority ya wahariri wa vyombo vya habari Tanzania ni Wakorintho! Na wakoritho wana chama chao cha siasa, Corithians Democratic Movement (CDM). Usitegemee waandike habari yeyote inayo-promote CUF! Ikiwa ni negative news utashangaa wanavyoipa kipau mbele! Refer ile saga ya HR na ' Kifo Cha CUF'!
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Vyama vingine ni vya msajiri wa vyama vya siasa John Tendwa

  vyama vya CCM, Chadema na CUF ndivyo vyetu wananchi vingine vilishakufa na vingine viko mahututu ICU tumemrudishia Tendwa kwa ajili ya matibabu.
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Em ondoa ujinga wako hapa. Gazeti gani limetangaza Slaa alikuwa chooni jana? We lazima utakuwa hawa watoto wamezaliwa miaka ya tisini. Viooongo, viongo!
   
 14. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hivyo unashauri waislam nao waingie kwny ulimwengu wa habari ili chama chenu cha kiislamu kiandikwe?!! Bwana asifiwe.
  R.I.P CUF:lock1:
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu si mna magazeti yenu ya Annuur,Alhudaa na Fahamu?
   
 16. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  CUF kushney.....
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe jamaa kumbe mnafiki kiasi hiki! Kila siku unapika kelele humu JF za udini kumbe huna lolote, mdini mkubwa wewe tena mnafiki, kwa hiyo CDM yenu ni kwa ajili ya Wakirstu nyie ndiyo mnaemualibia Dk Slaa, kwa style hii CDM hawawezi kuchukuwa nchi kwa kutegemea wakiristu peke yao.
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  zikiandikwa za SISIEM inatosha wanakuwa wamewawakilisha pia.
   
 19. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Kwani CUF bado kipo? Si kilisha expire? Ukiuliza kwanini hakiandikwi ni sawa na kuuliza kwanini vyama vya TANU,ASP, na TAA haviandikwi habari zake kwenye magazeti ya sasa.
   
 20. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapa unamaanisha au unadadhibitisha kuwa CUF wote wana DINI moja na mwanachama wao lazima uwe wa dini hiyo ?
   
Loading...