Je kuna la kujifunza na mgomo huu wa wafanyakazi wa air canada? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna la kujifunza na mgomo huu wa wafanyakazi wa air canada?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by walonge, Mar 23, 2012.

 1. w

  walonge Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TORONTO - Union officials say a wildcat strike by Air Canada ground workers that started in Toronto and spread to other airports is over.
  Union spokesman Bill Trbovich says three workers were suspended after Labour Minister Lisa Raitt was heckled while walking through the airport late Thursday.
  Trbovich says when word of the suspensions spread their colleagues staged an illegal walkout, prompting the firing of 37 workers.
  The union says the ground workers in Toronto, Montreal and Quebec started returned to their posts this morning after an arbitrator told them that everyone would be reinstated and there would be no punishment.
  However a group of workers were still outside Terminal One at Toronto's Pearson airport chanting "shame on Lisa Raitt" as of 11 a.m.
  Dozens of flights were cancelled or delayed as a result of the action, which Raitt called illegal as she warned that law enforcement had been notified.
  They workers say they're angry that Raitt brought in back-to-work legislation and sent their contract dispute with the airline to arbitration.
  The walkout left hundreds of passengers in limbo.
  Many people had to leave flights already on the tarmac until management was able take over some baggage handling duties and allow the delayed flights to continue to their destination.
   
 2. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je kuna la kujifunza? HAKUNA!
   
 3. w

  walonge Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu, ukweli lipo la kujifunza ambalo ningependa kukushirikisha na wewe.Kimsingi hapo kuna kitu ambacho wengi mnaweza msikione nacho ni kwa namna gani wenzetu wanaendesha migomo na ni kwa namna gani serikali inaitatuwa. Utaona tangu mgomo huo uanze mazungumzo yalikuwa baina ya wawakilishi WENYE MENO makali ya kuwatetea wafanyakazi na wamiliki au management ya utawala wa shirika au taasisi husika. Serikali kwa upande wake haihusishwi moja kwa moja na mara nyingi huwa inapofikia suala kama hilo na ndivyo lilivyokuwa inapotokea pande mbili hizo hazielewani au hazifikii muafaka ambao wenyewe wanasema deal, hapo ndipo serikali inaangalia kati tena sio kwa kukutana na wahusika bali kwa kulihusisha BUNGE kukaa kama kikao cha dharaura na kutazama maslahi mapana ya waathirika yaani raia na sio wanaogombana na mwisho wanakuja na maamuzi ambayo ni kutowa AMRI ambayo inakuwa ndio jawabu la mwisho na mwisho wa majadiliano.

  Kama utaukumbuka mgomo wetu utagundua hatua hizo hazikuwepo na wala hazikufuata kwa sababu migomo mingi inakwenda kwa wanasiasa ambao ndio watuhumiwa wenyewe na bunge linakimbia jukumu la kuwa pale kwa niaba ya wananchi. JE BADO HUJAONA INATUBIDI TUJIFUNZE KUBADILIKA NAMNA YA KUTATUWA MIGOMO YA NDANI. Bado hujaona hatari ya kumtumia RAISI kuamuwa migomo?
   
Loading...