Yafuatayo, yakumbukwe na kuzingatiwa na vijana WANAHARAKATI kabla ya 2015 kufika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yafuatayo, yakumbukwe na kuzingatiwa na vijana WANAHARAKATI kabla ya 2015 kufika.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by buhange, Mar 24, 2012.

 1. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana Jf. Ni wakati mwingine wa vijana na wazee wetu pia kukumbushana mambo muhimu yenye manufaa ktk maeneo tuishiyo na taifa kwa ujumla. Sote, tunajua wazi hali halisi kiuchumi na utendaji wa viongozi wetu wa serikali ya Tz. Kiuhalisia hali ni zaidi ya ngumu majumbani mwetu, kipande cha sabuni hakishikiki, usizungumzie Robo ya sukari au nusu ya mchele. Si Kilimo, Elimu, Afya, wala Mazingira. Wanavijiji na hasa Wazee na Wajane wananyang'anywa ardhi zao kila leo, achana na migomo ya wanafunzi wa chekechea, msingi, elimu ya sekondari na hata huko vyuo vikuu. Kwa mtazamo wangu wa karibu, nadhani ni wakati muafaka kwa Wazee wanaharakati na sisi vijana tunaojitambua kufanya yafuatayo;- 1.Sisi kama taa ya wenzetu vijijini, tunawajibu wa kuanzisha harakati za kukomboa jamii zetu vijijin kifikra, Mabadiliko haya yaanzie ngazi za familia, Baba mkulima ajue ni kwa vipi anakandamizwa, Mfugaji atambue jinsi kodi yake inavyotumika kununua mashangingi ya wakuu wa wilaya n.K. HAYA ONGEZA MENGINE....
   
Loading...