maadhimisho yenye maumivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maadhimisho yenye maumivu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kajoli.com, Mar 23, 2012.

 1. kajoli.com

  kajoli.com Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mlima kilimanjaro, wanyama, madini, misitu n.k ni baadhi ya mali asili katika nchi yetu ambazo kama zingewekewa misingi mizuri na sisi leo tungekuwa miongoni mwa nchi tajiri. Badala yake wananchi wengi ni maskini wasio na uhakika kuwa kesho pia watakula jioni.Maumivu yanakuja kila tunapoadhimisha kwa mapungufu badala ya kufurahia mafanikio..Unaweza kudadavua ulivyoadhimisha wiki ya maji, namna tulivyoweza katika miaka 50 ya uhuru nk
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  The average Black does not plan his life beyond a year (Botha, p.w)
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  The average Black does not plan his life beyond a year. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.(Botha, p.w)
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You and your Botha can go to hell. For any black man to quote Botha in public is the height of inferiority complex.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Mbaya zaidi ni sisi watz tulo wengi kushindwa kutambua kuwa matatizo tunayokuwanayo mengi yamesababishwa na uongozi mbovu!!!!
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  sijui tumelogwa na nani maskin.
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  ila kweli
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Haiwezi kuwa kweli. Botha na wazungu wenzake walifika Afrika kusini kitu cha kwanza wakaanza kuwanyang'anya Waafrika mashamba yao na maeneo ya kuishi. Wakawafanya watumwa kwenye machimbo ya dhahabu na almasi na kuwanyima haki zote za kiraia na kibinadamu. Wakawajazia mapombe na mawhisky kwenye mitaa yao ili wasahau ukali wa maisha waliyoletewa na wazungu, leo wananiambia eti mtu mweusi hapangi maisha yake mbali ya mwaka mzima? Kufikia 1902 Mwafrika wa Afrika kusini alikuwa anavaa suti kama mzungu, alikuwa na mwamko kisiasa kuliko mzungu, ni wakati walipoanzisha ANC. Walikuwa na mashamba wakiuza bidhaa nje na kusomesha wanao katika vyuo. Mzungu akaona hapo atazidiwa kwa sababu waafrika ni wengi. Akaazisha sera za apartheid. Halafu leo wewe, bila kujua historia unasema ni kweli? Rudi darasani ndugu yangu. Nyerere alijaribu kutukomboa Watanzania lakini hapa hapa utakuta kuna wengine wanaosema kuwa ndiye aliyetuletea umaskini. Rudi darasani.
   
Loading...