Hii fimbo ni muhimu kwa jeshi la polisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii fimbo ni muhimu kwa jeshi la polisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Indume Yene, Mar 23, 2012.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau,
  Naamini wengi wetu tumekuwa tukiipa uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki kipa umbele. Ndiyo, uchaguzi huo ni wa muhimu ili kuwapa fursa wananchi wa eneo hilo kumchagua kiongozi wamtakaye.

  Mimi nitawaamisha kwenye hiyo mada na kuwaleta kwenye hii kuhusu matumizi ya hiki kifimbo kwa jeshi letu la polisi. Nimekuwa nikijiuliza ni
  1. nini umuhimu wake hawa maafande wetu kutembea na hivi vifimbo?
  2. Watapungukiwa nini kama wasipokuwa navyo?
  3. Je hatuoni umuhimu wa kuwapunguzia hawa maafande kubeba vitu ambavyo havisaidii lolote?

  Kwa mtazamo wangu nilifikiri hawa maafande hawahitaji hivi vifimbo katika kuwajulisha vyeo au utendaji kazi wao. Wana JF, nyie mna mawazo gani?


  [​IMG]
   
Loading...