Dr. Kitila Mkumbo: Campaign managers waondolewe kwenye kampeni

Wakurogwa

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
216
39
Dr.Kitila Mkumbo akiongea kwenye kipindi cha This week in perspective amedai kuwa kama angekuwa na mamlaka basi angewaondoa au kutowaruhusu makampeni meneja waongee au kumnadi mgombea katika mikutano ya kuomba kura hii ni kutokana na watu hao kuongea mambo yasiyokuwa ya sera kwani wananchi hawapati kile kinachotarajiwa.Pia amedai kuwa wagombea wanaongea mambo ya msingi ikiwepo changamoto na namna ya kuzimaliza kwa wapiga kura wao.Mwisho wa siku mbunge atakuwa Sumari au Nasari na wapiga domo watarudi kwao

source:TBC1 kipindi cha This week in perspective
 
Shule, shule , shule mkuu, Kinachopiga kampeni kule ni jina Baba wa taifa siyo Vicent Nyerere
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom