MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Ni masikitiko makubwa kuona utitiri wa magwiji wa siasa ndani ya CDM wakishindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri. Hadi hii leo wanaendelea kutumia helkopita kama silaha tosha ya kuwavuta wapiga kura.
Hiyo mbinu imeshindikana uchaguzi mkuu; Dr Slaa akaangukia pua!
Igunga haikufua dafu!!
Leo Arumeru East mwarudia mbinu hiyo tena!!
TAFADHALI WANA CDM BADILI MBINU ZA KUWAVUTA WAPIGA KURA, HELKOPITA NI KUHARARISHA UFISADI WA KIKUNDI NDANI YA CDM KULA RUZUKU