Tunapozungumzia uchaguzi katika nchi yetu, tunatarajia uchaguzi uwe huru, wa haki usio na vitisho, wala usio na ghiliba. Uchaguzi usio na rushwa na wagombea wanaofuata maadili ya sheria ya...
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana...
Nilikuwa busy usiku kucha. nikalala saa kumi na nusu alfajiri kushtuka nikakuta PB on saturday ambayo wanapitia mambo yote muhimu ya wiki.Nilipoamka ili kusikiliza & nikakuta wameipa coverage...
Chama la magamba linakufa na pia viongozi wake wanatuhuma nzito za ufisadi.
sasa chama lao limekufa, wanahofia 2015 CDM ikichukua nchi wataozea segerea na kufilisiwa.
Sasa wana mkakati na tayari...
Saturday, March 24 2012
German contractor, Strabag International has won a $137.8 million tender to construct several roads and flyovers in Dar es Salaam.
The firm is set to commence the...
NYERERE AMSHAMBULIA NNAUYE
Naye Meneja kampeni za Chadema, Vincent Nyerere, alisema kuwa anamshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwa kueneza propaganda kuwa watashinda Arumeru...
Wakuu Wanabodi,
Hapa Dar es Salaam kumekuwa na mlipuko mkubwa wa ugojwa wa macho maarufu kama Red eyes. Hata mimi hapa nilipo kwenye keyboard ninaumwa vibaya mno na natoa taadhari tu msome kwa...
wana jf,nimekaa nikawaza jinsi ya kupunguza msongamano jijini dar na jinsi
ya kusambaza maendeleo nchi nzima na
nimekuja na mawazo yafuatayo;
1.katiba mpya itamke bayana kua,mji
mkuu wa...
Pamoja sana wanaJf! Ni hapo jana waheshimiwa H.Mdee,Sungura,J.Heche na wengine kadhaa walitembelea tawi la CHADEMA la chuo kikuu cha Mwenge kilichopo Moshi.Walizngumza mengi,kwa Mdee...
Sioi akihutubia mamia ya watu Maji ya Chai ambako imnadaiwa kuwa ngome ya Chadema
Lusinde akiwachana CHADEMA kwenye ngome inayodaiwa yao Maji ya Chai
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki...
Katika mikutano Minne iliyofanywa na chama cha demokrasia na Maendeleo nimebahatika kufatilia mikutano miwili wa kwanza ulifanyika kwenye kijiji cha malula kata ya kingoli ulimalizika saa nane...
eneo la ngarnanyuki huko jimboni arumeru limeishangaza ccm kwa kitendo cha wakazi wake kugeuka ghafla na kuanza kuisupport chadema.
Wazee wa kimila huko ngarnanyuki wametishia kupanda fuso...
Hii serikali ya kiguni kweli leo hii viongozi wa CCM wakivaa magamba ya serikali wapo Arumelu mashariki wakigawa chakula cha msaada ( njaa) wakipiga na kampeni kuwa waendee kuichagua ccm cz...
Nimepata tu wazo, kuna Wameru wengi walijiandikishia huko lakini wapo nje ya Arusha. Nashauri tu Chadema itangaze wale wenye vitambulisho na ni wafuasi wa Chadema wawasiliane na chama makao makuu...
Wamasai waliokwenda kuchuliwa jana na sendeka, na kuwapeleka kwa lowasa ili wawarubuni. wamkane nasary kuwa hawakumpa uongozi wa kimila kwa vijana wakimasai. ilikwama baada vijana hao wapatao 60...
Hatimaye hali imezidi kuwa tete hapa arumeru wakuu imembidi jk mwenyewe aje hapa nkoaranga nyumbani kwa sarakikya kwa gia ya kuzindua vikundi vya kukopeshana wakati mwaka jana vimesha zinduliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.