Arumeru Mashariki hawaitaji sera wanaitaji porojo - Mwigulu

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Mwigulu akiwa anautubia wananchi wa kata ya tindikali,maji ya chai anadai eti Nassari hana cha NGo wala nini bali analisha mbwa wa mzungu kwahiyo wananchi wasimkubali.
Mytake.
Mwigulu kampeni zimemshinda siyo dhambi kama akiomba kwenda kupumzika.
 
Kuwa na NGO ndiyo sifa ya kuwa mbunge?
Mi nadhani hata msukuma mkokoteni anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge, maadam ametimiza sifa zote.
 
Jamani WaTanzania wenzangu aminini nawambieni, CCM imechanganyikiwa hakuna spea ukiachukulia mifano ya aina za kauli wanazotoa hawa akina hkhe kama Mwigulu hadi wale tuliodhania kuwa ni waungwana kama Mzee Mkapa.

Hadi watu tunafika 2015 kun uwezekano baadhi ya wana-CCM wakaanza aidha kupanda jukwani uchi wa mnyama au kuanza kuongea peke yao barabara zima kwa mwenendo huu.

Nguvu ya Umma mbeeeele kama tai mpaka kunakucha kwenye jumba letu la taifa pale Magogoni huku tukihamisha mfumo fisadi kwenda uswahilini.

Mwigulu akiwa anautubia wananchi wa kata ya tindikali,maji ya chai anadai eti Nassari hana cha NGo wala nini bali analisha mbwa wa mzungu kwahiyo wananchi wasimkubali.
Mytake.
Mwigulu kampeni zimemshinda siyo dhambi kama akiomba kwenda kupumzika.
 
Kuwa na NGO ndiyo sifa ya kuwa mbunge?
Mi nadhani hata msukuma mkokoteni anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge, maadam ametimiza sifa zote.

Mungi ni kwasababu tu kwenye hii mikutano yao hakuna kuuliza maswali nilitakumtwanga hilo swali mwigulu.
 
maadam ni kijana atajibiwa tu na vijana wenzake, mwenzake wasira leo hajaongea
I like cdm ukija kwa hoja wanakuzima kwa hoja, ukija kwa utani wanakuzima kwa utani na ukija kwa matusi wanakuzima kwa ukweli (Wasira kama sokwe, spika hana mume) wana jf tuwe watulivu majibu yake atayapata tu.
 
CCM hawataki maswali. Wakishamaliza kuhutubia wanaanza kugawa allowance na kuchapa lapa.
Mungi ni kwasababu tu kwenye hii mikutano yao hakuna kuuliza maswali nilitakumtwanga hilo swali mwigulu.
 
Walianza na umri mdogo wa Nassari, wakaja na madai hajaoa, sasa hana NGO, analisha mbwa wa kizungu. Mwigulu mtu asiye na NGO ana kasoro gani? Na mtu anayelisha mbwa wa kuzungu ni kichaa?

Kama kweli Mwigulu na wenzako ni wanaume wa kweli itisheni mdahalo. Acha wananchi waulize maswali ndio tutajua nani fundi na nani kibarua.
 
CCM hawataki maswali. Wakishamaliza kuhutubia wanaanza kugawa allowance na kuchapa lapa.

Mkuu mungi ccm wamefulia leo walikuwa wanagawa vitambaa tu.nilikuwa naongea na makada wao wanadai wanawiki ya tatu sasa hawajalamba kitu na soon uzalendo utawashinda.kitu kingine nilichogundua katika mkutano huo ni wengi walikuwa ni wafuasi wa cdm nimehamasika sana kuona wananchi wameanza kuelewa tofauti maharage na kunde.
Kesho cdm wapo tindigani jana kamanda msigwa walipita kuweka mazingira sawa.
 
Walianza na umri mdogo wa Nassari, wakaja na madai hajaoa, sasa hana NGO, analisha mbwa wa kizungu. Mwigulu mtu asiye na NGO ana kasoro gani? Na mtu anayelisha mbwa wa kuzungu ni kichaa?

Kama kweli Mwigulu na wenzako ni wanaume wa kweli itisheni mdahalo. Acha wananchi waulize maswali ndio tutajua nani fundi na nani kibarua.

Fjm nikuwa nimekaa karibu na makada wa ccm wanalalamika mwenendo wa kampeni zilizosheheni matusi hakuna sera na mbinu za kutatua kero za msingi za wanameru.
 
Kesho nitahudhuria mkutano wa tindigani, naomba uni PM ili unielekeze location mkuu.
Mkuu mungi ccm wamefulia leo walikuwa wanagawa vitambaa tu.nilikuwa naongea na makada wao wanadai wanawiki ya tatu sasa hawajalamba kitu na soon uzalendo utawashinda.kitu kingine nilichogundua katika mkutano huo ni wengi walikuwa ni wafuasi wa cdm nimehamasika sana kuona wananchi wameanza kuelewa tofauti maharage na kunde.
Kesho cdm wapo tindigani jana kamanda msigwa walipita kuweka mazingira sawa.
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA
 
sky0.jpg

utakufa na pressure wewe, kilathread unapayuka tuu, kweli hichi chama hakina thinktank ya aina yeyote, nyinyi ni stomach hackers
 
Kesho nitahudhuria mkutano wa tindigani, naomba uni PM ili unielekeze location mkuu.

Pamoja sana mkuu mungi nimekuja kutumia haki yangu ya msingi.nimefarijika sana jinsi nilivyokuja pipoz walivyo na hamasa cdm wamebadili kabisa upepo na hii ni kwarika lote.
 
naomba mungu niwe mwenye bahati ya kushuhudia ccm wakiwa wapinzani kwa siasa za tanzania.
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA

Nashukuru mwigulu umejitokeza hapa coz kwenye kampeni hamtoi nafasi ya kuuliza naomba ujibu maswali kwa faida ya wanabodi wote:
1. swala la nasari kulisha mbwa wa mzungu linahusiana nini na ubunge?
2. Katika hotuba yako ni kipi ulichoongea chenye manufaa au majibu kwa wanameru?
3. Kwanini unatumia muda mwingi kupiga porojo baadala ya kumwachia sioi awambie wapiga kura nini atawafanyia?
4. Zile kalenda na milion 2 ulizolipia chakula wachungaji pale dayosisi inahusiano gani na kampeni?
5. Hao wakina mama mnaowakusanya ili muwapatie mikopo why now?au ndo kama yale mahindi ya njaa igunga?
Jibu kwanza haya...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA
Asante mkuu!
Mi nakupongeza kwa kujitokeza hapa! Ningefurahi zaidi km ungejibu baadhi ya post hapo juu!Unaulizwa, mbunge anapatikana kwa kazi zake au kwa sifa zake na uwezo wake wa kuongoza? Na je mgombea mmoja kutokuwa na NGO,kunatoa sifa kwa mgombea mwingine za kuchaguliwa? Toa ufafanuzi juu ya matusi yako na uhusiano wa nani achaguliwe na nani asichaguliwe!
 
Back
Top Bottom