Ccm ya fisadi hela ya ngorongora conservation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ya fisadi hela ya ngorongora conservation

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kijenge, Mar 25, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Ngorongoro conservation imetoa milioni mia 2 kwa ajili ya kampeni za arumeru mash ,wakati wananchi wa ngorongoro hawana hosp wa la zahanati maji na madawati shuleni. Ngorongoro conservetion ni mali ya serikali sio ya ccm ni mali ya watanzania.ewe mrunya, msekwa na maige hiyo sio mali yenu ni mali ya umma.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu sishangai kwa sababu mashirika mengi ya uma yamekuwa yakilazimishwa kutoa pesa za kusaidia kampeni za CCM na si Ngorongoro pekee
   
 3. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  duhu murunya bado tu hajaondoka kwenda kustaafu? kweli NCAA ni ngime ya mafisadi
   
Loading...