Habibu Mchange ampongeza Zitto Kabwe kwenye suala la Urais

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
Akiandika kupitia ukurasa wake wa Facebook Mchange anasema Zitto ametumia haki yake na pia ameonyesha uwazi kutangaza dhamira yake ya kugombea urais,na pia akaenda mbali zaidi kwa kusema endapo Zitto atagombea urais kweli yupo tayari kumpa kura yake na kumpigia kampeni.My Take Mchange na Zitto ni marafiki wa muda mrefu sijajua nini lengo lau kukigawa chama au kweli ni uzalendo kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom