Jamani tujulishane maana halisi ya neno Serikali kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tujulishane maana halisi ya neno Serikali kwa ujumla

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Jotham, Mar 25, 2012.

 1. B

  Baba Jotham Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wadau wenzangu wa jf,hivi tunapozungumzia serikali ya Tanzania,kimantiki huwa tuna maanisha nini hasa ?na hii serikali ni nini hasa na nani hasa mwenye kuimiliki hii serikali?
  Kuna wanaozungumza ya kwamba ccm ndo serikali ya nchi hii binafsi na kwa elimu yangu ya madafu ya civics ya kukalili nashindwa kudadafua maana halisi ya serikal.Ccm ndiyo serikali? ccm wanaunda serikali au hii serikali ni nini hasa? wataalamu wa mambo ya siasa na uraia mtujuze
   
Loading...