Arumeru mashariki-juma la sera ndilo hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru mashariki-juma la sera ndilo hili

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 26, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Hili ni juma la mwisho la kampeni za ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.Baada ya majuma kadhaa ya majungu,makombora na uzushi wa kila aina,sasa umefika wakati wa sera.Vyama vyote vishiriki vijikite kwenye sera.Kila mmoja awaeleze wana-Meru namna atakavyozipunguza/kuziondoa shida zao za miaka 50 ya Uhuru,lini na kwanini.Hakuna nafasi ya kushambuliana binafsi.Tuepushe laana ya wana-Meru kuchagua mtu asiyewahi kutangaza sera zake na za chama chake.Vyama na wagombea na msikie...
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  hili ni juma la summary aliyekuwa anatukana a summarize na aliyekuwa ana mwaga sera za kutatua matatizo ya wananchi a summarize sera zake ili tumpe kura zetu!!ila ikumbukwe kuwa zaidi ya 95% wameshafanya maamuzi tunangoja tu siku ya kutumbukiza kwenye box na kulinda mana mchwa wengi wasije kuzitafuna kura kura zetu!!
   
Loading...