Itv: Novatus makunga vipi?

Ndyali

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
1,661
948
ITV taarifa ya habari saa 2:00 wametutangazia vipolo, yaani wamerudia matukio ya kampeni za MANGAMBA Arumeru za matukio ya jana, Huku wakimuonyesha Martin Shigella akifanya mkutano wa hadhara darasani bila kutumia chaki!

My take Je, leo Magamba hawakuwa na mikutano ya kampeni?:A S 13::A S 13::A S 13:
 
tatizo siyo makungunga ila ni hao magamba wameishiwa sera na wanataka kila siku watokee kwenye tv wanataka kushindana na cdm lakini wameshindwa mimi nipo arumeru jana walizomewa sasa huyo makunga ni kada hawezi kutuma hiyo stori ikabidi arudie na hawa waliopo kwenye kampeni kina mwigulu na lusinde wana kazi ya kusifia wake zao tu sijui wamekuja kufanya nini huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom