ARUMERU MASHARIKI: KATI YA jOSHUA NASSARY NA CHADEMA MTACHAGUA NINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ARUMERU MASHARIKI: KATI YA jOSHUA NASSARY NA CHADEMA MTACHAGUA NINI?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mpingauonevu, Mar 26, 2012.

 1. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Nimeuliza Arumeru Mashariki lakini kwa ukweli natamani watu wote mnijibu kati ya candidate na Party nini nini kinachochaguliwa. Je? 2010 tulimchagua Slaa au CDM? Je? Upande wa pili walimchagua JK au CCM? Arusha tulichagua Lema AU CDM? Arumeru Mtachagua CDM au Nassary? CCM au SIOI? Mtachagua CCM au Lowassa?
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  vyote ebo! we gamba nini..
   
Loading...