Wazee waduwazwa Arumeru Mashariki

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,784
12,226
Katuni(12).jpg
 
Ule mpango wa kuwaibia kadi unaendeleaje?

Kwikwi kwikwi,

wamepewa ushauri wa kuzisajili na kisha kuzitunza kwa balozi wa nyumba kumi kumi mpaka siku ya kupiga kura, ndo watakwenda kuzichukua alfajiri.
 
Ule mpango wa kuwaibia kadi unaendeleaje?

Sasa Mangamba wanawahadaa wananchi kuwa CHADEMA wamekiri kushindwa na eti sasa CHADEMA wanaandaa tamko la kujitoa katika uchaguzi huo
 
Sasa Mangamba wanawahadaa wananchi kuwa CHADEMA wamekiri kushindwa na eti sasa CHADEMA wanaandaa tamko la kujitoa katika uchaguzi huo

Mwenye mawazo hayo lazima atakuwa katika makundi yafutayo;
sangma, ila si mchawi,
balozi wa shina,
una busha,
hujui kusoma wala kuandika,
mzee wa dar es salaam,
umri wako si chini ya miaka 40, na unaishi chini ya dola moja kwa siku. Hizi ndo sifa za mwana chama wa kawida wa ccm.
 
hakunaga kama pipoz pawa dah! Kizaz hk hakidanganyki kamwe! Magamba wanakazi ya ziada itabaki historia kama kwa KANU KWA KENYA.Ccm kwisha habari yenu na ni lazima wajibebe.Ona tu wanavyoiba na kutumia kodi zetu kwa manufaa ya chama chao.Watajuuuta kuifahamu cdm
 
Back
Top Bottom