Tamko la urais la zitto halifai kwa sasa.

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
Bila shaka nitawaudhi baadhi ya Makanda wenzangu akiwemo Zitto Zuberi Kabwe kwa nilikusudialo kuwasilisha.

Kwa kweli kuwa na haki ya
Kidemokrasia ya kusema
utagombea urais haimanishi
Zitto Z. K. ana haki ya
kusema atagombea urais wakati huu CHADEMA inajibidiisha na
kujiimalisha nchini kote...
Mimi kama kijana na mpenda Zitto Z. K. Sana hasa kwa jinsi ameshiriki na anavyoshiriki katika kujenga chama chetu
ila tamko lake la Urais
limetia vidonda katika
chama chetu kama
ifuatavyo:-
¤1. Imechechemesha
CHADEMA kule Arumeru -
Mashariki..

...a). Nasary anapanda
jukwani na kumpinga Zitto
kwa kusema kuwa huu si muda mwafaka wakuomba
urais.
Bila shaka Nasary anahisi
kuwa:-

¡). Hisia za Kisiasa zitahamia
kwa upande wa Urais na si Arumeru anapogombe
ubunge.

¡¡). Anahsi kuwa
watanzania hasa watu wa
Arumeru watapunguza
imani yao kwenye chama cha CHADEMA na hii itamzuia
kuingia bungeni.
...b). Zitto pia anaandika
makara kwenye mitandao
huku akimlaumu Nasary
kwa matamshi yake;
hatimaye anasema kuwa
hataenda Arumeru kumnadi Nasary...
>>>Haya matamshi
yanachechemesha
CHADEMA na yatatugharimu
kwa kiasi fulani
kisichoelezeka.

¤2). Matamshi hayo
yamewagawa kimakundi
wapiga kura,
wanaharakati, wapiganaji
na wagombea udiwani wa
Kirumba, Mwanza na Kimara, Dar es Salaam bila
kusahau wenyekiti wa
mitaa...

¤3). Imelegeza Mikanda ya
kujikaza kisabuni kwa
Makamanda hata baadhi
yao wanataka kuhama
CHADEMA ilhali waliokuwa
wakitaka kujiunga na CHADEMA huwenda
watajizuia kwa muda ama
wataacha kabisa..

...kuingineko itapunguza
imani ya watanzani kwa
chama chetu...
Kamanda inatulazimu
kuungana kwa kuwa nina
imani 'BIDII YETU
ITAINGIZA CHADEMA
MADARAKANI'
...ukiitaji kuwasiliana nami tuma ujumbe wako kwenda:-
a). mwita_steve@yahoo.com
b). www.facebook.com/wankuru.s.mwita
c). www.twitter.com/mwitaz
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom