Mbinu za Kudhoofisha na kuiua CDM zatajwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu za Kudhoofisha na kuiua CDM zatajwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Mar 26, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Chama la magamba linakufa na pia viongozi wake wanatuhuma nzito za ufisadi.

  sasa chama lao limekufa, wanahofia 2015 CDM ikichukua nchi wataozea segerea na kufilisiwa.

  Sasa wana mkakati na tayari wana mtandao wa kuhakikisha kuwa CDM inasambaratika. Chama la magamba watawanunua viongozi wa upinzani ili kusambaratika.

  Makundi ya kuutaka urais ndo yanazidi kuchimbia kaburi chama la magamba, wanashindwa kutekeleza ilani yao.

  Wananchi wamekosa imani na chama la magamba, mfano angalia jinsi wanavyotumia nguvu kupita kiasi katika chaguzi hasa chaguzi ndogo. Makundi ya Uraisi na ufisadi katika chama la magamba limeuwa chama, hawa wazee wao akina KITINE, BUtiku wamesema.

  chonde chonde Chadema, huu ni wakati wa kutatua matatizo ya wananchi, kujieneza vijijini. Nawasihi viongozi waadilifu wa CDM tumieni M4C katika kueneza elimu ya uraia vijijini. Watumieni BAVICHA na pia tumieni vijana waliomaliza vyuo vikuu. Hela ya kuwalipa vijana tutachangia kupitia M4C. Watanzania wanategemea mabadiliko kupitia CDM.

  Kaeni chonjo na wenye tamaa na uraisi. bado sana, tuna mambo mengi ya kufanya.

  Waende NCS Manunuzi au CWF wakafanye vurugu, sio huku CDM. ----Please anaekimbilia Ikulu tumwogope kama Ukoma. BY Julius Kambarage Nyerere

  Bad timing of hunting will loose weapons

  Hata mashabiki watamkimbia mchezaji asiye na ushirikiano.


   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chama huzaliwa,hukua,huzeeka na mwishowe hufa.CCM muda umefika..
   
 3. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baseless allegation!
  Nyie mnaozuia haki ya mtu ya kikatiba ndio tuwaogope maana mnataka kuleta uongozi wa KIFALME!
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nawasihi msome vizuri makala ya Zitto Kabwe nimeshangaa kuona hata viongozi wenu wamehamaki! Zitto alichokisema ni ikiwa atapewa ridhaa ya chama na nyie wanachama sasa kama hamtampa ma-thread ya Zitto ya nini? mnampa chati Ziito na sitashangaa Katiba itakapo rekebishwa Zitto akasimama kuwa mgombea wengu maana inavyosemekana kuna mnyukano wa chini kwa chini kati ya kundi la Mwenyeiti na Katibu ikiwa habari hii ina ukweli maana yake Zitto atashinda kiulaini sana ndani ya chama.

   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Si vibaya kama watamnunua Zitto akawa rais kupitia chama chao. Hiyo itadhihirisha kuwa ndani ya ccm hakuna mtu ambaye ni presidential material
   
 6. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Heri kumuongezea JK ten years more, kuliko kumpa ZZK Urais wa Nji. Yeye na February wake naona wanadanganywa na Fans wao. Nafikiri anadanganywa, na kama hadanganywi basi anatumiwa. Mungu ibariki Nji hii.
   
 7. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa Tanzania ni kawaida sana watoto na vijana kufa kuwaacha wazee wanadunda...
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nilisoma vizuri maelezo ya zito, ni kweli alikuwa anajibu kuhusu tuhuma za umri walizo anzisha yeye na makamba. Lakini badala ya kuishia hapo yeye alienda mbali na kujaribu kujipambanua kuwa anaouwezo wa kuwa rais. nadhani alichokosea Zitto ni kule kwenda mbali zaidi kujipambanua kwa kujipigia debe kuzidi kiasi. Hakupashwa kuweka maelezo yote hayo angeweza kuishia tu kwenye issue ya umri na kuelezea umuhimu wa agenda hiyo na issue ya kwamba anataka kugombea angejaribu kuwa na busara. Sidhani kama hii itampandisha chat Zitto maana Thread zote ziko very negative na mawazo yake na hapo inamkatisha tamaa mapema. Ilikuwa ni muhimu kutumia muda kusoma mwelekeo wa jambo hili kabla hujaingia kichwa kichwa. Lakini kama alikuwa anataka kupima upepo basi nadhani amepata majibu ya kufanyia kazi kupitia haya ma-thread. Tunamtakia kila la kheri.
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  1. Magamba wanataka kufa na mtu
  2. Magamba wamepoteza uelekeo
  3. Pole pole tutawajua maluki waliopo ndani ya cdm
  4. Maluki siku zote hujenga kambi
  5. Mtawatambua kwa matendo/matunda yao
  6. Wananchi tuwe wadadisi ili tupembue pumba na mchele
  7. Nawaomba viongozi wa chadema washirikiane ili ccm isitumie loop hole!
  8. Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana bila ccm
  9. Tuwakatae wanao tumia pesa, nyumba za dini, makundi kutafuta uongozi
  10. ''''' anaye kimbilia ikulu mwogope kama ukoma'''''
   
 10. S

  Silent Burner Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aheri ya CCM imeishi miongo kadhaa.
  CDM kinakufa kabla hata ya kutambaa...........utaikumbuka hii.!
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka na mitizamo, pamoja upeo wa watu walioandika hayo ma thread. Upeo wao ni mdogo na wanayachukulia mambo kishabiki shabiki sana. Wanaona kwa darubini ambayo kioo chaku.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ondoeni hofu ya hizo porojo za Magamba.

  ... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

  Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

   
 13. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hakuna wa kutuzuia kwani sisi tuna mungu,magamba wao wanapesa na dhuluma.shame on them!!.
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  we mpemba kumbe upo bara? Asiyekujua ww atakuamin lakini kwa anayekujua hatakuamin kwani we ni kibaraka wa CCM na ni mwathirika wa udini,TUACHIE TANGANYIKA YETU NA CHADEMA YETU.
   
 15. R

  Real Masai Senior Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Utakufa wewe na kukiacha chama chenye mwelekeo na matumaini na maisha ya watanzania
   
Loading...