Katiba mpya itamke mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma na raisi ataish Dodoma

Materu

Member
Jun 5, 2011
14
0
wana jf,nimekaa nikawaza jinsi ya kupunguza msongamano jijini dar na jinsi
ya kusambaza maendeleo nchi nzima na
nimekuja na mawazo yafuatayo;
1.katiba mpya itamke bayana kua,mji
mkuu wa tanzania ni dodoma na raisi wa
tanzania ataishi dodoma
2.makao makuu ya wizara yatakua mikoani
isipokuwa mawaziri katika ofisi ya rais,waziri mkuu,waziri wa fedha,wizara ya
mambo ya ndani na nje
NB.sio kila kitu lazima tuige kwa wazungu,
tunaweza kutengeneza mfumo wetu,
mtanzania yeyote anaweza kufanya marekebisho.Nawasilisha hoja!
 
hapo dom mtangoja milele mmekaa kudanganywa tu nanyi mnatoa kura kwa kudanganywa, dom watakuja kupokea posho tu
 
na akae huko huko Dodoma hatutaki kumuona hapa DAR anatusababishia foleni chungu mzima na siyo yeye achukue na wenzake mawaziri na makatibu wao watuachie mji wetu
 
Hii hoja haina maana. Kuna mengi ya msingi kwenye Katiba. Tukisema hivyo wengine watasema Mji mkuu uwe unabadilika kila baada ya miaka mitano ili kila sehemu iwe na maendeleo
 
Hoja ina msingi sana maana watu wametengeneza mradi wa kula pesa za serikali eti wapo nje ya kituo cha kazi wakiwa dodoma. Inapidi tuykate hii mirija kwa kutamka wazi kuwa rais makao yake yatakuwa dom
 
Back
Top Bottom