Sendeka Lowasa wakwama kwa masai wa Leguruki

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Wamasai waliokwenda kuchuliwa jana na sendeka, na kuwapeleka kwa lowasa ili wawarubuni. wamkane nasary kuwa hawakumpa uongozi wa kimila kwa vijana wakimasai. ilikwama baada vijana hao wapatao 60 kukata kukutanishwa na waandishi wa habari au kupandishwa jukwani kumkana nasary.wamasai hao wamedai wao sio waswahili wenye vigeuvigeu kama sendeka.sendeka anaendelea na mpango wake wa kusaka masai wengine wenye njaa watakao mkubalia mpango wake .wamesema nasary ndiyo kiongozi wao na hawajampa kwa kununua uongozi kama regnald mengi aliyechinja ng'ombe 50 nani mchagga,au lowassa mmeru na amepewa ulyagwanan kwa kuchinja ng'ombe 50.huyu kijana hajatoa kitu tumempa kwa uweso wake.
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. Bado siku kidogo tu tumtawaze Sioi.
 
kama ccm wangekuwa wajanja wangepeleka maji ya bomba huko umasaini fasta.
 
Wamasai waliokwenda kuchuliwa jana na sendeka, na kuwapeleka kwa lowasa ili wawarubuni. wamkane nasary kuwa hawakumpa uongozi wa kimila kwa vijana wakimasai. ilikwama baada vijana hao wapatao 60 kukata kukutanishwa na waandishi wa habari au kupandishwa jukwani kumkana nasary.wamasai hao wamedai wao sio waswahili wenye vigeuvigeu kama sendeka.sendeka anaendelea na mpango wake wa kusaka masai wengine wenye njaa watakao mkubalia mpango wake .wamesema nasary ndiyo kiongozi wao na hawajampa kwa kununua uongozi kama regnald mengi aliyechinja ng'ombe 50 nani mchagga,au lowassa mmeru na amepewa ulyagwanan kwa kuchinja ng'ombe 50.huyu kijana hajatoa kitu tumempa kwa uweso wake.

Sendeka unachezea lowassa wewe?
 
kijenge,

kwani ni vigezo gani vinatumika kumpa uongozi wa kimila mmasi? nijuavyo mm ni majumuisho ya umri, busara, na vingine ambavyo kama wamasai huvijua
 
wanaangalia hekima utii na mchango kwa jamii na kuwa nasiri sio kama sendeka mbeambea.ndio maana mengi, lowasa walinunua kwa ngombe 50.
 
Wamasai waliokwenda kuchuliwa jana na sendeka, na kuwapeleka kwa lowasa ili wawarubuni. wamkane nasary kuwa hawakumpa uongozi wa kimila kwa vijana wakimasai. ilikwama baada vijana hao wapatao 60 kukata kukutanishwa na waandishi wa habari au kupandishwa jukwani kumkana nasary.wamasai hao wamedai wao sio waswahili wenye vigeuvigeu kama sendeka.sendeka anaendelea na mpango wake wa kusaka masai wengine wenye njaa watakao mkubalia mpango wake .wamesema nasary ndiyo kiongozi wao na hawajampa kwa kununua uongozi kama regnald mengi aliyechinja ng'ombe 50 nani mchagga,au lowassa mmeru na amepewa ulyagwanan kwa kuchinja ng'ombe 50.huyu kijana hajatoa kitu tumempa kwa uweso wake.

Na bado mtakoma mwaka huu, wananchi hawadanganyiki
 
Back
Top Bottom