Vicent Nyerere: Nape anaishi kwa matumaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicent Nyerere: Nape anaishi kwa matumaini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Mar 26, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  NYERERE AMSHAMBULIA NNAUYE

  Naye Meneja kampeni za Chadema, Vincent Nyerere, alisema kuwa anamshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwa kueneza propaganda kuwa watashinda Arumeru Mashariki wakati yupo jijini Dar es Salaam.

  "Huyu Nape namshauri aje jukwaani huku Arumeru na sio kuishi kwa matumaini bila kusubiri vipimo, namshauri asubiri vipimo ambavyo vitatolewa Aprili Mosi, mwaka huu," alisema Nyerere.

  Source: Nipashe


   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  :violin:
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii kitu jana ilinichekesha sana.jamaa ana vijembe vingi ambavyo CCM hawatamuweza!
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa Vince Nyerere ni mwiba...

  Naskia hata Mkapa alishauriwa na Mwigulu amlipue Vince baada ya kuona hakamatiki, bahati mbaya sana kibano kikamgeukia che Nkapa.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Arumeru itawaondolea matumaini mwaka huu!
   
 6. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mna maneno nyie!!!! Vipimo vinapatikana Arumeru???
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ukimuona kijana anaishabikia sisiemu basi ujue ana maslahi nayo---mdau
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,468
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa noma..ccm na siasa uchwara hapo wamechemusha.
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  Jamani hizi comic zinapatikana wapi niende nikajichotee mwenyewe!
   
 11. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  Jamani hizi comic zinapatikana wapi niende nikajichotee mwenyewe! Nimezipenda mpaka basi......
   
 12. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape jamani leo unaimba pambia gan!
   
 13. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sijui kwa nini CDM walichelewa kumtumia huyu jamaa kwenye kampeni zao maana inavyoonekana kama kawafunika kina Mwigulu.
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huyu anaimba taarabu.
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kama kweli Nape hajakanyaga Arumeru basi anaishi kwa matumaini! Kuna sababu gani inayomfanya katibu mwenezi wa CCM kutofika Arumeru kuratibu kampeini za CCM? Bado ana BIFU na SIOI? Maana nasikia hakuwa chaguo lake. Mbona Wassira ameamua kula matapishi yake? Nape katu pua uunge wajihi.
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kwani wanaoishabikia kwa moyo wa kwamba itatuletea maendeleo ni hakuna kabisa
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbona mwenyekiti wao hata kusungumzia hajajaribu?
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Na wewe unaimba mchiriku.
   
 19. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vicent ni kiboko ya wachonga ngenga wa sisiemu, huyu mshkaji kampa kubwa Mkapa.
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yaani CCM wanaomba tu kampeni ziishe maana wamechoka kuzomewa!
   
Loading...