CCM hivi Arumeru ktk nchi hii ndo kwenye njaa kipindikilee ilikuwa Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hivi Arumeru ktk nchi hii ndo kwenye njaa kipindikilee ilikuwa Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dosama, Mar 26, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii serikali ya kiguni kweli leo hii viongozi wa CCM wakivaa magamba ya serikali wapo Arumelu mashariki wakigawa chakula cha msaada ( njaa) wakipiga na kampeni kuwa waendee kuichagua ccm cz inawapenda na kuwajali.

  Hivi kumbe chakula mpaka uchaguzi vp watu wa Igunga wameshavuna mavuno yao. Mikoa mingone vp wameshiba?
  Watanzania njaa zitatumaliza tusichumie tumbo.

  Source gazetil lao
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acha wagawe kula si kila mtu anajua ni CCM lakini kulala ni nyumbani CDM.
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo inabidi takukuru watuambie nini maana ya rushwa. Maana wangekuwa wanagawa pesa za kununulia hayo mahindi, wangekamatwa kwa madai ya kutoa rushwa.
  Ila nimefurahi, kumbe watu hujulikana wana njaa siku za kampeni!!!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  wanagawa chakula wakati wamepandisha bei ya mbegu kutoka elfu hamsini mpaka laki moja.....uhuni juu ya uhuni.
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,146
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Hili serikali pumbavu sana, ina maana njaa ndo wameiona mwezi huu? Walikuwa wapi mwezi wa kwanza na wa pili?
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Huku kwetu pia tunaomba MBUNGE wa Magamba afe ili tupate CHAKULA cha msada maana njaa inatuua.

  NDIYO AFE! ili kuokoa maisha ya wananchi wengi ambao wanakufa kwa njaa.
   
 7. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,730
  Likes Received: 1,238
  Trophy Points: 280
  Mnafiki hana haya! Rushwa, Ufisadi, Wizi kamwe havitaisha nchi hii hadi serikali hii imeondolewa madarakani. Viongozi wake wanapadikiza ujinga kwa wananchi ili waendelee kuabudiwa.

  Hakika Magamba = kudumisha ujinga
   
 8. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hali imezidi kuwa tete kwa ccm katika uchaguzi wa ubunge huko Arumeru mashariki,na ili kunusuru jimbo hilo kuanzia leo serikali itaanza kugawa mahindi na maharage katika kaya mbalimbali za jimbo hilo.Huku cdm wakilalamikia hatua hiyo,mbuge wa mtera ccm ndugu Job Lusinde amewataka cdm waache kutapatapa kwani ni wajibu wa serikali kuwapa chakula wananchi wake pale inapoonekana wamepungukiwa.

  Hatua hiyo inaonekana kuwa turufu kwa ccm kwani katika uchaguzi mdogo wa igunga ccm ilitumia hii mbinu hali iliyoiwezesha kupata kura nyingi hasa maeneo ya vijijini na mwisho wa siku kuibuka kdedea.

  Source:Gazeti la Uhuru,la leo tarehe 26/3/2012.

  My take;Siamini kama kuna ulazima huo wa kugawa chakula kwa watu wa Arumeru ikizingatiwa ni wakati wa uchaguzi,na je hiyo njaa imekuja kipindi hiki tu cha uchaguzi mbona kabla hakukuwa na mgawo huu wa chakula.Very disappointed with TAKUKURU and other machineries zinazosimamia maadili ya uchaguzi.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Haya Tendwa ongea sasa,wapi takukuru?
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  mtaji wa ccm ni kutuweka njaa ili watugawie maharage wakati wa uchaguzi.............. tusipozinduka sasa, basi hatuna maana tena
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  TAKUKURU ya TANZANIA NI MZOGA WA MAITI
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,177
  Likes Received: 7,365
  Trophy Points: 280
  rafu mbaya sana.kwenye mpira tunaita takoling.
   
 13. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,299
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Huu mtego ni wakijinga, CDM wanachotakiwa ni kuelimisha watu wafahamu kuwa kuku anayetaka kuchinjwa ndie hutupiwa mahindi ili akamatwe kiurahisi na kuchinjiliwa mbali na kuwa kitoweo cha aliyempa mahindi akijifanya rafiki

  Mie naamini mahindi ya CCM ndio yatakayowaangamiza kwani Arumeru sio Igunga na hata Igunga jamani hawa jamaa hawakushinda na Mungu anajua hivyo
   
 14. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,784
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Kula CCM,kura CHADEMA..
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Wananchi wa Arumeru hawahitaji viroba vya mahindi na maharage, wanataka ardhi walime na wale kwa jasho lao. Ardhi ipo, vyanzo vya maji vipi, na nguvu kazi ipo. CCM warudishe mashamba kwa wananchi na sio kuwageuza manamba kwa kuwapanga foleni ili wawape mahindi? Hii ni kuwavunjia heshma watu wa Meru ili waonekane kama ni wavivu, wasiopenda kujishughulisha kumbe sababu ni kunyang'anywa ardhi ya kulima.

  Uchaguzi ukiisha nani atawaletea mahindi na maharage? Kama kusingekuwepo na uchaguzi watu wangepata mahindi na maharage ya ccm? Ni lini mara ya mwisho hawa ccm waligawa vitu hivyo kwa wananchi?
   
 16. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,353
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hakuna shida, ndhani wao wantumia wajibu wa serikali yao kama turufu katika uchaguzi! Hii ni rafu ambayo NEC wanapaswa kukemea. Wananchi wa Arumeru wanfanywa kama kuku wa kumchinjia mgeni!! Anrushiwa mahindi akamatwe achinjwe!!

  CDM wanaweza kutumia udhaifu huu wa CCM kujiongezea credit katika kambi yao, dawa nu kuwaelimisha wananchi wa arumeru wajue, si vibaya kuchukua hayo mahindi, halafu ukamhoji aliyekupa, kwa nini kaone leo kuwa una njaa?

  Huku ni kufilisika kisiasa kwa CCM...
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Sasa kama wana-Arumeru ni watu wenye akili hii ni tusi kwao..Hivi ni nani katuloga watanzania namna hii? Kweli mtu anakufanyia wema wakati wa uchaguzi tu na wewe unamchekea...huu ni uuaji mkubwa sana.Wana-Arumeru chukueni mahindi ila waambie kuwa nyie sio wajinga siku ya uchaguzi yaani April Mosi.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  hapo ndo inatakiwa kila mwezi mbunge wa magamba mmoja anakufa ilikuokoa wananchi 10,000 wasife na njaa!
   
 19. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  basi wafe hata wabunge 30 wa CCM ili wananchi wenye njaa wapate chakula
   
 20. A

  AzimiolaArusha Senior Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45


  waache wagawe na nafikiri 2015 wajiandae kugawa chakula nchi nzima!!!!! wagawe chakula hata pale magogoni ikulu dar!!! tupende tusipende mwisho wa ccm yetu umekaribia, mimi ni kiongozi wa ccm na niko arumeru mashariki, watu wamechoka na ccm, watu hawataki kusikia kitu ccm na watu wanataka mabadiliko ambayo ccm imeshindwa kuyaleta na imekuwa ikiona aibu kuyatelekeza!!!!!! CCM tulikupenda lkn unakufa huku tunakuangalia!! buriani ccm
   
Loading...