CCM wawatisha wana Arumeru.....

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
 
nimejionea magari kadhaa ya jwtz yakirandaranda huko arumeru.cha kuchekesha wananchi wamekuwa watulivu kuliko ilivyotarajiwa.
 
Wameru hawatishwi kwa chochote.
Wameru si watu wa kushikwa masikio, nakumbuka siku walipokataa kulipa kodi ya kichwa mpaka Mkapa na Sumaye wakashika kichwa!
Wameru wana msimamo sana!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mh Lwakatare, Mwita Maranya pamoja na kurugenzi zima ya Ulinzi na Usalama pamoja na kurugenzi za haki, sheria na katiba (chini ya Mhe Tundu Lissu) CHADEMA pamoja na wanaharakati kila kona Arumeru,

hebu FUATILIENI KWA UKARIBU NA UMAKINI MKUBWA haya madai nyeti ya chama fulani kiitwacho CCM eti sasa kimeanza KUWATISHA WAHESHIMIWA WAPIGA KURA.

CHADEMA Mkoa wa Arusha, hili swala kalivalieni njuga kwa nguvu zote zinazostahili na wala kusipuuzwe hata punje la madai kama haya hata siku moja.

Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................

My Take:

Wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
 
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
Wanasema CCM imewaletea maji ya kuwasha wakati ya kunywa hakuna, wameleta magari ya police yenye mabomu ya machozi wakati hospitalini hakuna ambulance....
 
nimejionea magari kadhaa ya jwtz yakirandaranda huko arumeru.cha kuchekesha wananchi wamekuwa watulivu kuliko ilivyotarajiwa.
Mkuu hebu tuweke sawa au nchi iko vitani maana juzi nimeona magari zaidi ya 40 ya polisi na magari mawili ya maji ya kuwasha leo tena wanajeshi lazima tutakuwa vitani ila tumefishwa.......au ule ugovyi wetu na kenya umekuwa mkubwa kiasi hicho.....
 
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema

Kweli ccm wamechoka, hadi wanatishia wananchi uchawi?? Nadhani ndio kazi iliyompeleka maji marefu huko, kwani hiyo ndiyo taaluma yake.

Bahati nzuri asilimia kubwa sana ya wameru ni watu wa dini, wanamuamini Mungu aliyehai na hawaogopi uchawi hata siku moja. Fedha ya ccm watakula na kura watapiga chadema na hakuna atakayedhurika.
 
Swala la CCM na Serikali yake kuwa na mazoea ya kutia hofu wapiga kura HILO HALIKUBALIKI hata kidogo na hivyo Januari Makamba ajiandaye kujibu maswali zaidi kitu gani walichokipanga pale kwenye ile shule ya msingi.

Hakika yakijirudia ya Igunga basi kijana huyu mdogo wa CCM atakua amejivurugia kabisa CV yake kimoja mbele ya macho ya WaTanzania hakuna kifani yake!!
 
Mkuu hebu tuweke sawa au nchi iko vitani maana juzi nimeona magari zaidi ya 40 ya polisi na magari mawili ya maji ya kuwasha leo tena wanajeshi lazima tutakuwa vitani ila tumefishwa.......au ule ugovyi wetu na kenya umekuwa mkubwa kiasi hicho.....
mkuu kuna polisi kutoka pwani na maeneo mbalimbali nchini ispokuwa arusha na moshi.juzi jumamosi kuna magari mawili ya jwtz yameonekana yakirandaranda mtaani.
Gari la matangazo ya kampeni la ccm
limesikika likiwaambia watu ''endeleeni kuzomea lakini subirini kipigo''

so far wananchi ni watulivu sana sijui miguvu yote hii ni ya nini?
 
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema

Mkuu hiyo imekuwa kawaida yao kutishia wananchi kuwa watawapasulia "chungu"hilo halipo na wala hakuna kitu kama hicho hakiwezi kufanya kazi. Wakiwapa pesa kuleni ni kodi zenu
 
Back
Top Bottom