Mkutano wa CHADEMA Moivaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CHADEMA Moivaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EBENEZA MT, Mar 26, 2012.

 1. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mhe. Mbowe anasema wana ccm wanahitaji maombi badala kumwaga sera wanamwaga matusi.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ni kwa CHADEMA, je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

   
 3. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbowe anasema jumapili kuamkia j,tatu kutakuwa na mkesha wa kulinda kura usa river kwa mkurungenzi mpaka matokeo yatangazwe.
   
 4. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nassari ni Musa wetu wamesema vijana wa kimasai wa tandabobo wamemkabidhi fimbo ili awaongoze
   
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Magamba hawana pa kupumulia.. wasubiri matokeo na wajiandae kujuta kwa gharama walizotumia..
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Chadema inanipa raha.
   
 7. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkutano wa 10 na wa mwisho kwa leo utakuwa maji ya chai ni full dose.
   
 8. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 9. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kama uko kwenye viwanja vya hapo maji ya chai tu-update mkuu
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mkutano hapa moivaro umeisha dk 40 iliyopita,chopa imeotuonesha show,wameelekea maji ya chai.nyomi ilikuwa c ya kitoto
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duuh, watu wanaojua matumizi ya chopa. Huu ndio wakati muafaka.
   
 12. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe CCM hawana pesa ndio maana wameshindwa kutumia Chopa! Amenieleza rafiki yangu aliye jirani sana na Malisa.
   
Loading...