Hali ni tete; JK kutua Arumeru Jumanne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ni tete; JK kutua Arumeru Jumanne

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by THEO LYIMO, Mar 26, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye hali imezidi kuwa tete hapa arumeru wakuu imembidi jk mwenyewe aje hapa nkoaranga nyumbani kwa sarakikya kwa gia ya kuzindua vikundi vya kukopeshana wakati mwaka jana vimesha zinduliwa na mkuu wa wilaya na hapa nkoaranga ,kilinga, mulala, sura, kilala, poli, singisi,makumira ndiko chadema inategemeea kupata kura asilimia 90% sasa jk sijui atatuambia nini kwani tunamsubiri na mapango mtaona badala ya kufanya mambo ya muhimu na ameambiwa hali ni tete kweli nyie mlio mbali na arumeru msifanananishe arumeru na igunga hapa patachimbika na mbowe kasema tutakesha usa kuizika ccm jumapili nyie mtaona kama uko mbali tusikilize jk atakuwa eneo la barazani mringaringa

  theotim

  nawasilisha kutoka nkoaranga meru
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kweli CCM imebanwa, mpaka mtu mzima anajitosa?! Ndo anakuja kufunga kampeni au kufungua vile vituo hewa vya kupigia kura?
   
 3. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Anakuja kutoa maagizo ya kumtaka sioi bugeni kwa gharama yyoyote. Bado huna akili tu? BWM katoa maagizo mzee anafuatilia utekelezaji wake...subirini baada ya matokeo kumpa wa cdm mtasikia watu wanahamishwa kazi. Hali ccm mbaya hujaona. JK naye anakija kujidhalilisha kwa ubunge wa mtu asiyeuzika...subirini mtaniambia
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Anaenda kujiabisha, ndio vizuri akaeleze watu namna alivohongwa zile suti 5 na zile dola milion 1tunamsubiri kwa hamu sana yapo mengi anatakiwa kujibu huu ndio wakati wake haswa!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mkapa alienda kupiga kampeni Temeke dhidi ya Mrema... guess what..?
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Na mie naelekea Arumeru, inawezekana inawa ni fasheni mie sijui
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na jamaa wanato macho kishenzi kuhakikisha hakuna kulala mpaka kieleweke.

  Njama zao zote zimethibitiwa, mbwembwe zote matakoni pamoja na mapesa yao. Dawa ya CCM ni Wameru tu.
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Babu asije Arumeru ili CCM wauwe ndege wawili kwa jiwe moja?

  Babu huyu hajui biashara kumbe. Angelioteshwa tena kuwa sasa akafanye kazi Arumeru na akamkusanyia hela za kutosha Lowassa na Askofu Laizer wake. Huyu Laizer anapenda hela kama Lowassa tu. Sijui kanisa lina hali gani kwa sasa chini yake maana pana wakati kulikuwa na ugomvi mkubwa sana huko.............

  Dini inabidi TUPIGE STOP kwa miaka kama 15 hivi na baada ya hapo, watu watakuwa wameshashika adabu yao. Nina uchungu sana na hawa Wala vya bure wakiwa ndani ya Masuti mazito na magari ya bei mbaya. What? Wengine wana ndege kabisa, lohh, hiyo kali.
   
 9. k

  kagame Senior Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatupaswi kushangaa kwa babaye mwanaasha kwenda arumeru, maji yamezidi unga msibani labda anaenda kujaribu kusaidia kampeni au anaenda kuitumia hii fursa ya arumeru kama alivyoitumia Mkapa, jukwaa la Arumeru ndo walipopaona kama sehemu sahihi ya kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili. Je wanaJF tushapata logic ya chama cha magamba kumzuia Lowasa asifanye kampeni Arumeru? Aliyoyatenda ndani ya mkutano wa NEC uliyopita kama angeyatenda Arumeru unadhani safari ya baba mwanaasha ingeratibiwa vipi tena?
   
 10. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  hofu ya nn cdm? c mmeamua kushindana pambaneni2, kwa sera, matuzi , fedha ilimradi mbunge apatikane ndo siasa
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,507
  Trophy Points: 280
  asijaribu leta mironjo yake arusha town aishie huko huko.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Magwanda yanapoanza kubana inabidi ubadilishe. Kwi kwi kwi teh teh teh.

  Zile za uso na mbavu za Tyson zimewatosha, njia nyeupee kwa Sumari.
   
 13. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Akifika mwulizeni ile Meli aliyoahidi kule Mbeya itafika lini?
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  taarifa zinaniambia kuwa jk alikuwa afanye ziara arumeru magharibi lakini ilisogezwa mbele mpaka uchaguzi wa arumeru mashariki upite.hivyo tumtarajie kati ya tarehe 2 mpaka 8 atatia timu arusha,labda anaweza kupita hivyo vijiji ulivyotaja.
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  siku ya kufa nyani..............
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hizo ndiyo mbinu zao wameshaanza kuwaita kina mama na kuwaambia waanzishe vikundi wawape pesa,walifanya kikao kimoja kijiji cha kitefu na wamepanga wiki hii watafanya kingine ambacho kitajumuisha kinamama wa maji ya chai,katiti na vijiji vya karibu.hayo yote yameshashtukiwa hata hao kinamama wanaoji why now!
  Safari hii hawagawi kofia wanagawa vitambaa vya kichwani.
  Shame on you ccm!
   
 17. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Sasa Rais wangu Kikwete ataanzia wapi? Ahadi zake za kwenye diary anazikumbuka?
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ha!! Sasa huyu ndio atakwenda kuharibu kabisa..maana kwenye orodha ya viongozi wa CCM wanaoongoza kwa kauli tata JK nae ni mmoja wapo...Ben kasha toa yake,Mwigulu na vichaa wenzake wanatoa kila siku,amebakia yeye tu.
   
 19. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Nassary Kashinda
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  JK akitia mguu Arumeru wananchi wamuhoji, iweje serikali ya ccm ichukue ardhi ya wananchi na kuwapa wawekezaji kwa shs 6,000 kwa kila ekari? Wameru wameshindwa kulipa hizo shs 6,000? JK aeleze kinagaubaga, ccm inawaamini watanzania kuwa ndio wataendeleza hii nchi? Kama ndivyo kwa nini week hii ccm imeleta wafanyabiashara toka Afrika Kusini ili waje kuwekeza? Hakuna watanzania wanaojua biashara? Mzee Sabodo, Nesamburo, Ali Mufuruki, na wengine wengi hawajui biashara?

  Na hapa ndio wameru wanatakiwa wawe wajanja, maneno ya Mkapa kuwa atapeleka report kwa JK kuhusu Ardhi ni ulaghai maana JK huyo huyo na chama chako wako busy kuleta wawekezaji toka nje.
   
Loading...