Kampeni za CHADEMA katika picha: Malula na Usa River - Arumeru [March 24]

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Katika mikutano Minne iliyofanywa na chama cha demokrasia na Maendeleo nimebahatika kufatilia mikutano miwili wa kwanza ulifanyika kwenye kijiji cha malula kata ya kingoli ulimalizika saa nane watu walikuwa wengi na wa mwisho ulikuwa usa uliofanyika kwenye uwanja wa liganga pale walipofungulia kampeni mahasimu wa cdm yaa CCM


Chini ni Baadhi ya picha za mkutano wa chadema kwenye kijiji cha Malula kata ya King'ori na chini ni kwenye mkutano wa mwisho leo tarehe 24.04.2012 kwenye uwanja Usa River

Picture003.jpg

Picture006.jpg

Picture016.jpg

Picture017.jpg

Picture027.jpg

Picture031.jpg


Chini: Kamanda Godbless Lema akichangisha baada ya kampeni kumalizika

Picture033.jpg

Picha za mkutano uliofanyika nyumbani kwa SIOI Sumari
 

Attachments

  • Picture 006.jpg
    Picture 006.jpg
    1.4 MB · Views: 1,286
  • Picture 033.jpg
    Picture 033.jpg
    482.3 KB · Views: 978
Thanks Comrade yegella, nimefarijika sana Mkuu.
Hakika ni aibu kwa magamba.
Kura tutazilinda kwa gharama yoyote.
Mkuu yaani naona kama vile ukiangalia kwenye picha hupati ujumbe kamili jitadi fika hata mkutano mmoja tu utapata ujumbe kamili kwani utapata hata maoni.
 
Mbona under 18 wengii sana..

Msije kulia tarehe 1/4..matokeo ni 28% vs 72%ccm
 
Tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. under 18 walikuwa wangapi?

b. Wenye kadi za kupiga wangapi?

c. Wataenda kupiga kura? commitment

d. kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? wangapi wamekubaliana na sera zenu?

acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama
 
Aisee. Kwenye kampeni za Arumeru tulikosa coverage ya namna hii, ubarikiwe sana mkuu..
 
Siyo kwamba natania, nasema kura tutazilinda kwa gharama yoyote.
Tutazilinda kama tulivyozilinda za Arusha mjini.
Sidhani kama cdm km kinweza kulinda kura mkakati unaofanywa ni kutumia udikteta sio wizi tena. Nasisitiza UDIKTETA SIO WIZI TENA.
 
Thanks Comrade yegella, nimefarijika sana Mkuu.
Hakika ni aibu kwa magamba.
Kura tutazilinda kwa gharama yoyote.
mkuu nipo huku dar yan napata machungu kweli sipo home.
nakumbuka nililinda kura za mheshiwiwa Lema na diwani wangu mpaka asubuhi.
nipo nanyi katika maombi yangu ya kila siku. peoplessss powerrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom