Wafuasi wa Chadema Tulio Nje ya Arusha Tuwasiliane na Chama Kwa mchango wa Nauli

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nimepata tu wazo, kuna Wameru wengi walijiandikishia huko lakini wapo nje ya Arusha. Nashauri tu Chadema itangaze wale wenye vitambulisho na ni wafuasi wa Chadema wawasiliane na chama makao makuu ya mikoa tuangalie uwezekano wa kuwachangia nauli wale wasiojiweza. Hapa DSM kwa mfano tungeweza kuwakodishia mabasi wakaenda, ni wazo tu lakini nadhani zuri. Ni kukodosha magari au wanachadema wajitolee kuwasafirisha si kutoa cash
 
Yatajaa wana CCM ambao muda mrefu wamekosa nauli ya kwenda kwao. Wazo ni zuri na tuko tayari kuwachangia wenye kadi za chama na vitambulisho vya wapiga kura.
 
Chadema tunajuana vizuri. Nadhani zoezi litakuwa la manufaa
 
Back
Top Bottom