Ukimya wa serikali na Ugonjwa wa macho (Red eyes)

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Wakuu Wanabodi,
Hapa Dar es Salaam kumekuwa na mlipuko mkubwa wa ugojwa wa macho maarufu kama Red eyes. Hata mimi hapa nilipo kwenye keyboard ninaumwa vibaya mno na natoa taadhari tu msome kwa umakini hii thread nisije nikawaambukiza.

Concern yangu mimi ni kwa nini Serikali imekaaa kimya hadi leo bila hata kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na huu ugonjwa, chanzo chake, dalili na madhara? Waziri wa Afya Dk Hadji Mponda na wataalamu wako mnafanya nini sisi wananchi tunaumwa macho hadi tunashindwa hatuendi kazini siku ya tano sasa.
 
Back
Top Bottom